bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,013
- 742
Mke wa kwanza wa raisi wa africa kusini anaitwa sophia simba.
Kuna tofauti Kubwa Kati ya Afrika kusini(south Africa) na Kusini mwa Afrika(Southern Africa)
Wapo Sahihi
ukumbuke mjane grace machel alikuwa wa mandela
Sawa kabisa kakaSawa ila Mandela hakuwa rais wa kwanza SA,walitakiwa kusema rais mweusi wa kwanza wa SA
Kwa kesi ya SA tunaangalia rais wa kwanza wa post apartheid eraNi nchi gani ya Afrika iliyokuwa na Rais wakati ikitawaliwa???
Nchi ya Afrika Kusini ilipata uhuru mwaka gani???
Ujinga babuKwahiyo Mandela ndo rais wa kwanza Afrika Kusini???
Hivi hizi shule siku hizi mnaenda kujifunza nini??
Hahahahaha asante babuHuyo anaitwa FaizaFoxy sio faiza Foxy
Hivi hizo shule siku hizo mlienda kujifunza nini???
Hahahahaha usinirushie mawe tafazali....
afrika kusini huru
Sure Mkuu! Watu wengi hawajui kabla ya Winnie! Mandela alikua na mke mwingine!Mkuu powder huyo nae hayupo sahihi ila ww kwa namna nyingine umeweza kupatia huyo graca alikuwa mke wa tatu kwa mandela na winnie alikuwa mke wa pili rudin katika historia....weken pemben hizo akiri zenu za ki-udom udom
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
Rais wa kwanza wa kuchaguliwa kidemokrasia nchini Afrika kusini ni Hayati Nelson Mandela.TBC wanasoma taarifa ya habari ya saa moja asubuhi, sasa hivi.
Nimesikia wakimtaja mgeni aliyeko nchini kwa sasa:
MKE WA RAIS WA KWANZA WA AFRIKA KUSINI GRACA MACHEL
Jamani hawa watu wanahitaji msaada wa dharura, hawana ma editors.
Rais wa kwanza wa Afrika Kusini ndio nani?
Najua unanimisi na najua hujui pa kunipata...Hahahahaha asante babu
Halafu unajua nakumic
TBC wanasoma taarifa ya habari ya saa moja asubuhi, sasa hivi.
Nimesikia wakimtaja mgeni aliyeko nchini kwa sasa:
MKE WA RAIS WA KWANZA WA AFRIKA KUSINI GRACA MACHEL
Jamani hawa watu wanahitaji msaada wa dharura, hawana ma editors.
Rais wa kwanza wa Afrika Kusini ndio nani?
Rais wa kwanza wa kuchaguliwa kidemokrasia nchini Afrika kusini ni Hayati Nelson Mandela.
Atakuwa mke wa kaburu John Vorster huyo km sijakosea!