Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,120
- 4,788
Huyo ni mke wa mandela ww umemkariri win
Lakini si wa kwanza, mke wa kwanza ni winnie Mandela.
Huyo ni mke wa mandela ww umemkariri win
Nimezungumza swala la uraisi hapo?Kwahiyo Mandela ndo rais wa kwanza Afrika Kusini???
Hivi hizi shule siku hizi mnaenda kujifunza nini??
Wako makini Ukweli na uhakika hasa Asha Haji ambaye namkubali katika utangazaji.
Mke wa kwanza ni Winnie Mandela!ukumbuke mjane grace machel alikuwa wa mandela
mimi sijasema grace ni mke wa kwanza ila nilichoelezea grace alikuwa mke wa mandele ...Mke wa kwanza ni Winnie Mandela!
ndio awe mke wa kwanza wa rais wa afrika kusini, kbla ya mandela hawakuwa na raisgrace machel aliolewa na mandela
huwenda walimaanisha raisi wa kwanza mzalendondio awe mke wa kwanza wa rais wa afrika kusini, kbla ya mandela hawakuwa na rais
Upo Sawa, Grace alikua mke 3 wa Mandela.mimi sijasema grace ni mke wa kwanza ila nilichoelezea grace alikuwa mke wa mandele ...
Najua fika winnie ndo wa kwanza
Kwa hiyo unataka sisi tuanze kubashiri? Kwa ufupi mleta mada yuko sahihi TBC ni mamburura!huwenda walimaanisha raisi wa kwanza mzalendo
Elewa tunapozungumzia Rais wa kwanza wa nchi yeyote ya kiafrika tunazungumzia baada ya uhuru kutoka kwa wakoloni/ wabaguziKwahiyo Mandela ndo rais wa kwanza Afrika Kusini???
Hivi hizi shule siku hizi mnaenda kujifunza nini??
Rais wa kwanza muafrika ktk serikali ya kidemokrasia.Lbd ulitaka wakufafanulie hivyo. Ndalichako ana kazi.Kwahiyo Mandela ndo rais wa kwanza Afrika Kusini???
Hivi hizi shule siku hizi mnaenda kujifunza nini??