TBC hawaishi kuchemka

TBC hawaishi kuchemka

Rais wa kwanza muafrika ktk serikali ya kidemokrasia.Lbd ulitaka wakufafanulie hivyo. Ndalichako ana kazi.
Sio kufafanuliwa... hiyo ndio sentensi sahihi.

Ndalichako ana kazi kwenu nyie watoto... Sisi tulisoma enzi Jackson Makwetta akiwa waziri wa Elimu. Ulishawahi kumsikia??
 
Kwa hiyo unataka sisi tuanze kubashiri? Kwa ufupi mleta mada yuko sahihi TBC ni mamburura!
Hilo halipingiki mkuu kama Tbc ni mamburura ,ila tunachotofautiana ni angle tulizokaa kutazama umburura wa Tbc
 
Elewa tunapozungumzia Rais wa kwanza wa nchi yeyote ya kiafrika tunazungumzia baada ya uhuru kutoka kwa wakoloni/ wabaguzi
Ni nchi gani ya Afrika iliyokuwa na Rais wakati ikitawaliwa???

Nchi ya Afrika Kusini ilipata uhuru mwaka gani???
 
TBC wanasoma taarifa ya habari ya saa moja asubuhi, sasa hivi.

Nimesikia wakimtaja:

MKE WA RAIS WA KWANZA WA AFRIKA KUSINI GRACA MACHEL

Jamani hawa watu wanahitaji msaada wa dharura, hawana ma editors.

Rais wa kwanza wa Afrika Kusini ndio nani?
Mandela? hapana, rais wa kwanza after apartheid wangesema hivyo
 
Ni nchi gani ya Afrika iliyokuwa na Rais wakati ikitawaliwa???

Nchi ya Afrika Kusini ilipata uhuru mwaka gani???
Huyo dogo unamuonea kwa maswali kama hayo..
Wewe muulize haya maswali utapata majibu mazuri kutoka kwake. Muulize :-
1.rais wa wasafi ni nani?
2. Yeye ni team kiba au mond?
3. Joketo bado yupo na kiba?
Na mengine kama hayo..
 
Huyo dogo unamuonea kwa maswali kama hayo..
Wewe muulize haya maswali utapata majibu mazuri kutoka kwake. Muulize :-
1.rais wa wasafi ni nani?
2. Yeye ni team kiba au mond?
3. Joketo bado yupo na kiba?
Na mengine kama hayo..
Hahahahahaa!!

Asante mtakatifu. Namuomba sana radhi kijana kwa kumpa maswali yaliyo nje ya silabasi yake.
 
Wala hajachemka......Mandela hakuwa rais wa kwanza wa SA . Kwani kabla yake hapakuwa Na rais ukizingatia SA imepata uhuru from 1910?
Endelea kuwafundisha mkuu...

Vijana wa Ndalichako hata kugoogle tu wanashindwa...

Nadhani ndo maana viroba vinapigwa marufuku...
 
Consortium right ya mwanamke wa ndoa kubeba jina la mme wake huwa haifi hata kama kifo kitawatenganisha na kuolewa tena na mtu mwingine. Wanasakolojia wanasema na vigumu sana mwanamke aliyefiwa na mme wake kumsahau kabisa mme wake wa zamani baada ya kufa wakati wakiendelea kuishi maisha ya umoja hta kama ile ndoa ilikuwa inamgogoro. Ndio maana maneno ya Mungu yanaheshimika kuwa mwanaume anapompata mke anakamilisha ubavu wake uliotolewa. Hivyo machel limekuwa sehemu ya jina la gracia na halitafutika.
 
Upo Sawa, Grace alikua mke 3 wa Mandela.
Mkuu powder huyo nae hayupo sahihi ila ww kwa namna nyingine umeweza kupatia huyo graca alikuwa mke wa tatu kwa mandela na winnie alikuwa mke wa pili rudin katika historia....weken pemben hizo akiri zenu za ki-udom udom
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
Winie Mandela ndo alkua mke wa kwanza

Hapana, Winnie alikuja baadae.

Mkewe wa kwanza ni Evelyn Mase.

Mandela_e_Evelyn_1944.jpg


Kwa hiyo hata kama walikuwa wanaongelea mke wa kwanza wa Mandela, hakuwa Winnie wala Graca.

Nelson Mandela alikuwa ni reputed womaniser, kwa kiswahili muhuni. Julius Nyerere anatakiwa awe na nafasi ya taadhima kuliko Mandela in the pantheon of African history.

TBC hawawezi kujua mambo haya.
 
Kuna tofauti Kubwa Kati ya Afrika kusini(south Africa) na Kusini mwa Afrika(Southern Africa)

Wapo Sahihi
 
Back
Top Bottom