TBC fungeni ofisi mkafanye kazi nyingine

Kuna mtu atakuja kuuliza, huo muonekano sio tatizo la risiva kweli...!!!?? hata mie sielewi...
 
Negative Kabisa
Aibu Sana Hii Tbc Wana Yule Dkt Wao Yaani Bado Yupo Ofisini, Kweli
Tanzania Wanaotuangusha Ni Wasomi
 
Je, wanarusha picha katika kiwango cha UHD, HD au SD?

Je, mpiga picha alikuwa umbali gani kutoka alipo JPM? Zooming too much inaharibu picha...

Je, chanzo cha mwanga kilikuwa upande gani, subject alikuwa uelekeo upi toka mwanga unapotokea?

Je, mpiga picha alitumia filter sahihi kwa mandhari aliuokuwepo?

Upande mwingine ni je hiyo TV/Receiver yako mkuu ina spec zipi kwenye kudecode picha?
 
Kuna mtu atakuja kuuliza, huo muonekano sio tatizo la risiva kweli...!!!?? hata mie sielewi...
 
Hiyo decoder ipate tatizo muda wa mkuu kuhutubia tu?

Wacha tufanye tv ndio inatatizo
 
Hiyo decoder ipate tatizo muda wa mkuu kuhutubia tu?

Wacha tufanye tv ndio inatatizo
Ni wakati wote picha za TBC huwa na mwanga hafifu kwa objects...? (Wengine huwa hatutizami hiyo televisheni)
 
Ni wakati wote picha za TBC huwa na mwanga hafifu kwa objects...? (Wengine huwa hatutizami hiyo televisheni)
kama hiyo inayoonekana imetokea hivyo..

Hilo ni swala la kameramani wakati huo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…