Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
inabidi tuunde kamati ya kufuatilia kiini cha tatizo kabla ya kuanza kuishambulia TBC kwani tbc imeleta naitaendelea kuleta mageuzi makubwa ndani ya taifa hili,imefanya mengi mazuri tusiyasahau .kosa moja halimfukuzi mke
Huwezi amini lakini nfo ukweli mda huu taarifa ya habari inasomwa huku kuna nyimbo inapigwa kama vile muvi flani ndo staring anakuja kukomboa mateka walio tekwa.
TV ya taifa ni janga la kitaifa huwezi kujivunia kabisa kuwa nchi ina kituo bora cha tv

unaijua kesho wewe??wasaidie leo leo kesho tusipokuona tumpe shemeji poleHakika, nami niliyaona madudu hayo TBC, yumkini ni ya kibinadamu, lakini nimesikitishwa kwa watangazaji wa TBC kushindwa kutuomba radhi watazamaji. Wana nafasi ya kufanya hivyo hata kesho, kama kweli wanatuheshimu.
Maggid Mjengwa,
Iringa.