TBC 1 warusha harusi LIVE. Waziri Nape acharuka, awataka watoe maelezo ya kina

Tbc inakosa viongozi wabunifu. Tiddo Mhando alikuwa anafit sana bas tu alitolewa mapema.
 
"kugawa majukumu into diferent channels say TBC 1 iwe ni nationa interest, TBC 2 comercial, ifanya biashara, TBC 3, elimu, TBC 4, Afya, TBC 5 kilimo, uvuvi na ufugaji, TBC 6 watoto, TBC 7 michezo, TBC 8 miziki etc, etc."

kila wizara na tbc yake, wazo zuri.
 
  • Siafiki, wakulima mvua zimeanza, taasisi za ki limo zipo, majarida yapo.......warushe hiyo Kama wameishiwa......wasome up ya mission na vision Yao......
 
Pasco,

Tulishakosoa na kushauri kuwa TBC iwe funded na iachane na biashara.Pia management iwe professional iachane na maswala ya impunity,double standard na takataka nyingine kama hizo

Sasa hivi wanapata Ruzuku halafu wanagombania matangazo ya Biashara na ITV,Azam,Channel Ten n.k

Unazi umekuwa ndio nguzo ya operation

Ubunifu hakuna.They're boring!
hata hivyo serikali ilijitoa kwenye biashara yoyote ndio maana hata UDA iliiuza sasa TBC1 kuendela kutangaza kibishara na huku unachukua ruzuku ni wizi tu.
 
Pasko hakikuwa kipindi cha chereko,ingawa baada ya kumaliza walionesha tangazo ls chereko ili kuzuga maana watu walishaanza kuwasema mitandaoni
 
sikuamin macho yangu...

au ni staff mwenzao

bwana Harusi mwenyewe sijui alikunywa viroba au ni furaha ya kuonekana mpaka songea 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom