KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,068
bibi harusi kama baamedii la samaki samakii
Tbc inakosa viongozi wabunifu. Tiddo Mhando alikuwa anafit sana bas tu alitolewa mapema.
hata hivyo serikali ilijitoa kwenye biashara yoyote ndio maana hata UDA iliiuza sasa TBC1 kuendela kutangaza kibishara na huku unachukua ruzuku ni wizi tu.Pasco,
Tulishakosoa na kushauri kuwa TBC iwe funded na iachane na biashara.Pia management iwe professional iachane na maswala ya impunity,double standard na takataka nyingine kama hizo
Sasa hivi wanapata Ruzuku halafu wanagombania matangazo ya Biashara na ITV,Azam,Channel Ten n.k
Unazi umekuwa ndio nguzo ya operation
Ubunifu hakuna.They're boring!