TBC 1 habari hovyo hovyooo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC 1 habari hovyo hovyooo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by ngoshwe, Mar 13, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Clement Msahana ni kama ameshindwa kazi. Nafuatilia habari za TBC leo tarehe 13.03.12 saa mbili usiku, kuna habari ya wakazi wa Kibaha kurejea katika kijiji chao cha asili cHORUMA..lakini habari hiyo imeingiliana na masauti na mahabari mengine kibao..hakuna hata kumradhi wametoa kwa usumbufu huo..
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hakuna siku imewahi kuwa nzuri
  lazima kuwe na hitilafu katika mitambo
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  TBC - CCM ni hovyo siku zote
   
 4. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  nakuunga mkono hamna siku wamekosa dosari,kama vipi wafunge kwa muda maana hata sipatagi cha maana kwa kuiangalia,
   
 5. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yaani tbc wameshindwa kazi hata mpangilio ya vipindi ni mbovu
   
 6. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Labda waataka kumuuonyesha umma jinsi management ilivyo mbovu kwa kufanya vitu ovyo ovyo tu.
   
 7. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  TBC ilishakufa baada ya Tido kuondoka, huyu Mshana anaizika tu sasa hivi
   
 8. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sijui kwanini walimuondoa Tido Mhando.
   
 9. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,138
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Halafu wananishangaza kwa kutounda vipindi vipya ila ni vupindi vifuatavyo wanavizungusha kuanzia saa nne asubuhi. Vipindi hivyo ni:
  1. CASTLES OF CLAY - ni kipindi cha vichuguu na wanyama wanaopenda kuishi kwenye vichuguu.
  2. ZIWA BABATI - Mambo ya mazingira kuhusiana na maisha kuzunguka ziwa babat mkoani manyara
  3.HUNTERS - kipindi cha wanyama waishio baharini.
  3. ZIWA GENDABE - Kipindi kinachohusu uvunaji wa chumvi kwenye ziwa Gendabi lililoko wilayani Hanang
  4.GILBERT JOSAMU- Kisa cha bondia wa Zimbabwe aliyekufa kwa HIV.
  5.RUAHA MDOGO NA MKUU- Mazingira ya mto Ruaha na pembezoni.

  Kila siku lazimaTBC1 walete kimojawapo ya vipindi hapo juu. Usitarajie kipya tbc1 labda kama rais atahutubia taifa!
   
 10. kussy

  kussy JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 15, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mi wameniuzi waliposhindwa kuonyesha Kombe la mataifa ya Africa, nafikiri Tido angekuwepo yasingetokea yote haya.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Tangu mwaka huu uanze kuna thread zaidi ya kumi zikilalamikia hawa TBC. Hii inaonyesha kuna tatizo kubwa pale...
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  wewe haikukeri?
   
 13. M

  MOMMA Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wanaboa kinoma yaan siwapendi aiseee..
   
 14. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mara wameweka picha kwenye habari isiyohusika ili mradi tafrani tu.Ni aibu kuitwa televisheni ya taifa.
   
Loading...