Tb joshua wa bongo, dini sasa inavamiwa.

Tb joshua wa bongo, dini sasa inavamiwa.

Huduma siwezi kuisemea neno , Ila Maadili huwa wanawake wanahudumiwa na wanawake na si kama ktk picha

Viwango hivyo vinautata, ajaribu kubadirika ktk hili
 
masanja anakandamiza kila kona
alishaenda Nigeria au ni upako wa kweli?
mambo ya imani ni ngumu kuhoji
 
Hivi kwanini wengi wanaoanguka wakati wa mahubiri na wale wanaodai kutolewa mapepo ni wanawake?kuna uhusiano gani kati ya wanawake na kuanguka wakati wa mahubiri,mbona wanaume uwa hawaanguki hovyo hovyo au kudai wana mapepo?Jibu tafadhali
 
Wakristo making fun of their own religion ..
 
yulee si niyule mukandamizaji jmanii,.....hahaha
 
View attachment 109318
"Siku za mwisho watatokea Manabii wa ukweli na Uongo" Hapa tumuweke kundi lipi?

Biblia inavyo vigezo vya kuwajua MANABII wa uongo. Yule atakayetabiri lakini anayotabiri yasitokee huyo hajatumwa na MUNGU. Lakini kama ni MWINJILISTI (km Masanja Mkandamizaji hapo juu) yeye hana cha uongo, kazi yake ni kutangaza INJILI YA YESU tu, hapo hakuna uongo, ni kazi na matokeo yanaonrkana DHAHIRI.
 
Sijajua mjadala huu lengo lake ni nini?
Ni mchungaji kumwombea mtu aliyelala chini?
Ni mchungaji kuchuchumaa akiombea mtu???
Ni sura yake??
au anafahamika kuwa ana dosari na unabii anaoutoa??
Au ni nini hasa??
 
Kumbe mtumishi wa bwana mi nilifikiri mungu.heri yao wenye dini zinazowaruhusu kuwa na mabwana
 
Kuna track ya huyu bwana ,"Nimeokoka mimi,nalitaja jina lake Yesu,asiyeamini apige magoti tumuombee.....Hilo ni Pepo"
<quickprintreadystate style="display: none;"></quickprintreadystate>
Acha mwenye kazi yake ndiye mwenye kujua.Timiza wajibu wako acha kuwazungumzia watu
 
CURRENT ISSUE umevurugwa? Ule wimbo maudhui yake unayajua? Kama hujaelewa kwanini usiombe ufafanuzi badala ya kuonesha ubutu wako?
<quickprintreadystate style="display: none;"></quickprintreadystate>
 
Last edited by a moderator:
kabarikiwa vipaji vingi sana huyu kijana, Mchungaji, mchekeshaji, muimbaji nk.
Aithee...
 
Back
Top Bottom