Tb joshua wa bongo, dini sasa inavamiwa.

Tb joshua wa bongo, dini sasa inavamiwa.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
msanja.jpg
"Siku za mwisho watatokea Manabii wa ukweli na Uongo" Hapa tumuweke kundi lipi?
 
Acha kabisa kulitumia jina la mtumishi wa bwana tb Joshua, hovyo hovyo.
 
Acha kabisa kulitumia jina la mtumishi wa bwana tb Joshua, hovyo hovyo.

Bwana Yesu asifiwe!!....ukipata mda ya kuyasikiliza maubili yake utajua kwanini nimesema ivyo nakutumia video yake PM badae
 
Huyo sio Mkandamizaji?? Vioi tena? Nini kinaendelea hapo! tB jOshua ofcourse mimi kama mimi hua simuamini kabisa asilimia 100 nina sababu zangu kwa hiyo msinicriticize nina sababu zangu kwa nini nineoma anadanganya mara kibao.. Huyu anaombea watu kwa stail gani tena? Ningependa kuona video moja kamamhiyo sio acting!
 
Kuna track ya huyu bwana ,"Nimeokoka mimi,nalitaja jina lake Yesu,asiyeamini apige magoti tumuombee.....Hilo ni Pepo"
<quickprintreadystate style="display: none;"></quickprintreadystate>
 
Mchungaji sijui kanisa lake linaitwaje au ataajiliwa....
 
Dini imekuwa biashara sasa manabii wengi wahuongo watajitokeza
 
Dini inafanyiwa maskhara na wizi wizi tu...na waumini wanaangalia tu!
 
Dili hiloo mbona kuna makadinali wamesoma zaidi ya huyu na hawafanyi hivyo? au huyu yeye anaijua sana kazi yake?
 
Back
Top Bottom