Hivi kwanini wengi wanaoanguka wakati wa mahubiri na wale wanaodai kutolewa mapepo ni wanawake?kuna uhusiano gani kati ya wanawake na kuanguka wakati wa mahubiri,mbona wanaume uwa hawaanguki hovyo hovyo au kudai wana mapepo?Jibu tafadhali
Wanaume wamepewa uwezo wa ku reason while wana wake hawajapewa, wao ni believers' vulnerable. Wanaishi kwa kutumia emotional zaidi kuliko kutumia akili walizopewa.
Rahisi kuwadanganya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.