Nimemshuhudia msichana mmoja kutoka Ghana akiwa na sindano mwilini(kwa mamia ) ktk picha ya Xray na zingine akiwa nazo mkononi(kumi na nane) baada ya kufanyiwa surgery huko kwao Ghana. Tunasubiri ktk prayer line kufanyiwa maombezi i.e. Deliverance
Naomba mnifahamishe ni Decorder gani mnatumia na kumpata TBJoshua tafadhali nijulisheni mwenzenu.
Naomba mnifahamishe ni Decorder gani mnatumia na kumpata TBJoshua tafadhali nijulisheni mwenzenu.
Nimeona ushuhuda wake usiku huu kapona kabisa na daktari kathibitisha. YESU NI WA AJABU utukufu apewe Bwana.Nimemshuhudia msichana
mmoja kutoka Ghana akiwa na sindano mwilini(kwa mamia ) ktk picha ya
Xray na zingine akiwa nazo mkononi(kumi na nane) baada ya kufanyiwa
surgery huko kwao Ghana. Tunasubiri ktk prayer line kufanyiwa maombezi
i.e. Deliverance
jamaa alikuwa natembezewa kichapo na my wife wake!
Zuku unapata emmanueltv bila chenga