TB Joshua kiboko!


ubarikiwe sana kwa ufafanuzi mzuri
 
Last edited by a moderator:
Picha ya uongo mtupu. [/QUO
TE]

Ndio mnavyodanganyana hivyo?

Hebu tembelea kwenye hiyo sura ukasome "context". 69. SURAT AL-H'AAQQAH


Hakika Wajinga ndio waliwao.
MUHAMMAD ALIPAGAWA NA MASHETANI TOKEA UTOTO WAKE
Imetafsiriwa na Guillaume katika Ishaq Ukurasa wa 72
Shangazi yake alisema kwangu, "Nina hofu kuwa huyu mtoto ameshikwa na mfadhaiko, hivyo ngoja nimrudishe kwa familia yake kabla hali yake kuwa mbaya zaidi. Mama yake Muhammad akasema kumetokea nini kwa mtoto wangu? Akasema, NINA HOFU KUWA MUHAMMAD AMEINGIWA NA SHETANI, akanijibu, NIKWELI MUHAMMAD AMEPAGAWA NA MASHETANI​


 

Kwikwikwikwi...
 
Ni mwizi. Period

Mwizi kakuibia,hata Yesu walimwua kwa kumsingizia uongo,kama una ushahidi na maisha ya binadamu wenzie nyamaza kimya au umwombee aache wizi.Kama wewe ni mkristo mwombee kwani maadiko yanasema "usimahuusie jirani yako uwongo"
 

Hata shekhe yahaya alikuwa mtabiri, ukienda kwa wapiga ramri nao ni watabili.
 

Ni kweli kabisa! Nchini kwake boko haram wanaitwanga nchi na kufanya watakalo kama vile panya buku anaetembea kweupe kwa vile paka hayupo! Kama kweli ni mtu wa MUNGU angeiepusha nchi yake kwa kusimamisha shukrani kwa MUNGU na nchi ingepona lakini hakuna analolifanya zaidi ya kudanganya dunia kuwa ghorofa lake lilianguka kwa kupigwa bomu! Kumbe hakupewa kibali cha kuongeza ghorofa nyingine juu! Ninachoamini waongo MUNGU atawadhihirisha mchana kweupe!
 
Wote hawa T.B Joshua, Mama Lwakatare, Gwajima, Lusekelo, Kakobe n.k ni wajasiriainjili. Wenzio wapo kazini!
 
Usimhukumu mwenzie,mkosoe na umsaidie sisi wanadamu wengi mtu akishindwa kitu tunambebea bango badala ya kumsaidia na kumwombea.Hata yule mwizi pale pembeni mwa Yesu alipokea wokovu palepale mtini na akauona ufalme wa Mungu so mwenzio anaweza akatubu wewe ukabaki na bango lako la "ni mwongo etc"
 

Ndugu, hata Yesu aliambiwa ajiteremshe msalabani ikiwa Yeye ni mwana wa Mungu na hakufanya hivyo je unadhani ni kwanini? Usihukumu kwakuwa kila mwanadamu atahukumiwa na Mungu pekee
 

Natumaini sijamhukumu bali nimesema anaetenda kinyume na MUNGU atahukumiwa siwezi kusimama kwenye nafasi hiyo ya kuhukumu bali ni NENO ndivyo linavyosema.
 
Ndugu, hata Yesu aliambiwa ajiteremshe msalabani ikiwa Yeye ni mwana wa Mungu na hakufanya hivyo je unadhani ni kwanini? Usihukumu kwakuwa kila mwanadamu atahukumiwa na Mungu pekee

Usome vizuri na uelewe nilichoandikwa kuliko kudandia kuwa nimehukumu! Aliesema anaepotosha wana wa MUNGU ni heri afungwe jiwe atoswe kwenye kilindi kirefu ni MUNGU sijaongeza wala siwezi kupunguza NENO bali ni MUNGU kasema!
 
Usome vizuri na uelewe nilichoandikwa kuliko kudandia kuwa nimehukumu! Aliesema anaepotosha wana wa MUNGU ni heri afungwe jiwe atoswe kwenye kilindi kirefu ni MUNGU sijaongeza wala siwezi kupunguza NENO bali ni MUNGU kasema!

Uliposema kuwa ameshindwa kuwaondoa boko haramu nchini kwake je wewe si sawa na wale waliomwambia Yesu ajiteremshe msalabani kama Yeye ni kweli Mwana wa Mungu?
 
Nahisi humu ndani kuna watu wanataka kuharibu biashara za watu, dunia ni kama ng'ombe wenye maziwa mengi, yaani kila mtu anaweza kutumia ujanja wake au kipaji chake kujipa mafanikio. Kwa hiyo kuwasema vibaya hawa manabii wa enzi za sasa ni kama kuua soko lao, manake watu wengi wanawaamini na kuwafuata na kuna baadhi yao wanawaabudu. Kwahiyo jamani tusiharibu biashara za watu.
 
Mkuu fikra za wahariri wa sampuli hii ndizo zilizopelekea headlines kubwa kubwa kwenye magazeti kipindi cha Babu wa Loliondo.Hawa hawakujishughulisha kuhusu mambo scientific.Wanapenda mambo rahisi rahisi yasiyohitaji logic na critical thinking.
Manyerere Jackton ni mmoja kati ya wahariri mizigo waliochangia sana kudhalilisha tasnia ya habari. Vyombo vya habari sio tena mhimili wa nne kutokana na ukasuku, njaa, tamaa za kupewa u-DC na maupuuzi mengi sana.
 
Last edited by a moderator:
Wote hawa T.B Joshua, Mama Lwakatare, Gwajima, Lusekelo, Kakobe n.k ni wajasiriainjili. Wenzio wapo kazini!
Wengi hawalielewi hilo, tena ifike kipindi sasa serikali iwe inachukua kodi kama biashara nyingine tunazofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…