ametabiri nchi inayopakana na Kenya Rais wake wa kutekwa,,,,,,,,je ni Tanzania?
Airspace ya Ukraine siku hizi inakwepwa, hamna ndege inayopita huko isipokuwa za kivita tuAmesema kati ya Ukrain na Russian ndege nyingine kubwa ya abiria itatunguliwa'
?
Amesema kati ya Ukrain na Russian ndege nyingine kubwa ya abiria itatunguliwa'
ametabiri kuhusu Obama kukimbizwa hospitali muda wowote kuanzia sasa hivi
ametabiri nchi inayopakana na Kenya Rais wake wa kutekwa,,,,,,,,je ni Tanzania?
Hana lolote ni tapeli kupitia imani. Ana intelligence yake au kubahatisha. Mara nyingi utabiri wake haitokei.Amesema kati ya Ukrain na Russian ndege nyingine kubwa ya abiria itatunguliwa'
ametabiri kuhusu Obama kukimbizwa hospitali muda wowote kuanzia sasa hivi
ametabiri nchi inayopakana na Kenya Rais wake wa kutekwa,,,,,,,,je ni Tanzania?
Hivi ile ndege alisema itaonekana nayo imeonekana au....?
Amesema kati ya Ukrain na Russian ndege nyingine kubwa ya abiria itatunguliwa'
ametabiri kuhusu Obama kukimbizwa hospitali muda wowote kuanzia sasa hivi
ametabiri nchi inayopakana na Kenya Rais wake wa kutekwa,,,,,,,,je ni Tanzania?
Amesema kati ya Ukrain na Russian ndege nyingine kubwa ya abiria itatunguliwa'
ametabiri kuhusu Obama kukimbizwa hospitali muda wowote kuanzia sasa hivi
ametabiri nchi inayopakana na Kenya Rais wake wa kutekwa,,,,,,,,je ni Tanzania?
Ni kweli hata mimi naangalia live hapa, TB joshua ni mtumishi wa Mungu halisi.
Hajasema nchi inayopakana na Kenya...amesema southern africa countries. ...kwamba one of their president atatekwa na pengine kuuawa.... about Obama, ameonya kwmba asifanyiwe operation maana haitokua sawa kwake. He said let's pray for them!!!
Hiyo itakuwa Somali au Sudan Kusin au Ethiopia, Tz sio rahisi JK atekwe
Airspace ya Ukraine siku hizi inakwepwa, hamna ndege inayopita huko isipokuwa za kivita tu