Tb Joshua alivyonipa utajiri

milion 2 ndani ya miezi 3 ni milioni 180 (2 mara 90 = 180)! Inawezekana vipi kwa milion 180 uweze kununua fuso 2, coasta 3 pia ujenge nyumba 2, restraurant 3? Innocent chacha hebu fafanua vizuri.

Mkuu kweli unatisha ushakokotoa hesabu hadi umemtoa nockout au pengeni amenunua vizuzuki carry,akadhani ni fuso.Hiyo hadith apelekee watoto wa chekechea

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hata kwa chembe hunidanganyi...wizi mtupu. Naigeria wasinge imba hata huo mziki kama kina davido Maana maji ya utajiri yapo. Zama hizi ni za mwisho kabisa.
 
kuwa mfuasi mzuri wa Yesu haimaanishi kuwa mambo yako yatakuwa mazuri

Ni kweli, lakini hiyo spidi aliyopanda nayo inatisha kama ni kweli maelezo yake. Itabidi watu tusitoke jasho sana maana utajiri wa Yesu wa miezi minne tu, mtu wa kawaida anaweza asiupate kwa umri wake wote, wa labda miaka hata themanini hivi!
 
ndiyo maana tunasisitiza watu wampokee Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yao
 
Hata kwa chembe hunidanganyi...wizi mtupu. Naigeria wasinge imba hata huo mziki kama kina davido Maana maji ya utajiri yapo. Zama hizi ni za mwisho kabisa.

Davido hajaokoka, mimi nimeokoka. Maji ya upako huwa hayatumiwi na kila mtu. ni lazima huyo mtu awe na neno la Mungu kwanza
 
Nilichosema ni uhakika mtupu. Sijapunguza wala kuongeza neno. Mambo ya rohoni hayapaswi kuaminiwa na watu wa mwilini. Kwahiyo sipati shida ninapoona kuna idadi kubwa ya watu wanabishia ushuhuda wangu.

Ushahidi wako ujakamilika mr chacha.hebu tueleze hiyo restaurant ako inaitwaje??kwa faida hiyo hata serena hotel hawana hiyo faida..mimi ni tomaso nahitaji uthibiti....sho wa macho.
 
1. Kuuza milioni 2 kwa siku kwa bei ya chakula cha mgahawani ina maana umeuza pieces 1000 kwa wastani. Mgahawa kuhudumia watu 1000 kwa siku ni "miujiza"

2. Kuuza milioni 2 kwa siku, kwa biashara ya chakula faida haitazidi milioni moja ukiondoa gharama zote. Kwa miezi mitatu ina maana ulipata faida ya milioni 90. Coaster 1 ni sh milioni 40, so coaster 3 ni milioni 120. Fuso moja ni milioni 40 so fuso 3 ni miloni 90. Jumla ni milioni 210. Nyumba moja ya wastani ni milioni 30, so nyumba 2 ni milioni 60. Jumla yote ni milioni 270.

Kapange uongo wako vizuri...
 
Ndio keshasema, ni kwa muujiza wa maji ya annointing!

dah, na tofali ukinyunyiza maji zikiwa kumi tu nyumba inapanda hadi kwenye lenta. Bado bati hapo, ba mbao moja tu inatosha kupaua. Miezi 3 ya muujiza!
milion 2 ndani ya miezi 3 ni milioni 180 (2 mara 90 = 180)! Inawezekana vipi kwa milion 180 uweze kununua fuso 2, coasta 3 pia ujenge nyumba 2, restraurant 3? Innocent chacha hebu fafanua vizuri.
 
Last edited by a moderator:

AMEN Mtu wa Mungu. Hawa watu wa ibada za mashetani hawawezi kukulewa. nilishasema ulokole ni janga la Dunia kamasiyo Urimwengu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…