Tb Joshua alivyonipa utajiri

Tb Joshua alivyonipa utajiri

TB JOSHUA ni mtumishi wa Mungu. Anointing water ni damu halisi ya YESU

tobaaaa,kama ni damu ya yesu ingeitwa blood of jesus,ushasema alikupa maji yaitwayo anointing water. acha kujiuma uma huo ni ushirikina.

yesu alikufa msalabani miaka takriban 2000 iliyopita,leo umegaiwa damu yake inform of water.

Haya nayo yapaswa kuwa kivutio cha utalii tz
 
milion 2 ndani ya miezi 3 ni milioni 180 (2 mara 90 = 180)! Inawezekana vipi kwa milion 180 uweze kununua fuso 2, coasta 3 pia ujenge nyumba 2, restraurant 3? Innocent chacha hebu fafanua vizuri.

na ukumbuke hayo ni mauzo siyo faida...faida hupatikana kwa kutoa gharama zote za uendeshaji kwenye mauzo...sasa hyo milion 2 ni faida au ni jumla ya mauzo...wizi mtupu
 
Conclusion: Hatimaye Ukristo umepotea njia na kuwa USHIRIKINA wa grade A.

This is for the awake only: Kuna tofauti gani kati ya kwenda Lagos na kwenda Bagamoyo au Kigoma na kurudi na 'anointing water' ya kupulizia (kunuizia) kwenye biashara yako?
... ukristo upo njiapanda. Tusuburi yatakayofuata baada ya 'dawa mpya' kuishiwa nguvu. Watanzania tutatoana kafara, maana ni wengi wanaoelekea kuukumbatia ushrikina kwa kupitia huu mlango wa nyuma.
Tunataka matokeo ya haraka bila kanuni zake. NI HATARI KUBWA. God bless our nation.

Umenena vema mkuu...yaani utakuta mtu hataki hata dawa ya hospitali wanakazania tu sijui annointing water ya TB Joshua hadi hali ikiwa mbaya ndo wanakubali kwenda hospitali.Huyu tapeli amewavuruga sana watanzania siku hizi...hivi Nigeria wanaijua vizuri lakini? dunia nzima wanafahamika kwa juju na utapeli.
 
Actually unamtumikia shetani bila kujua... Yesu sio wa kuhusishwa na biashara za laki mbili kua milioni mbili.

Haya makanisa yenu haya balaa sana..There are no shortcuts in life hao kina TB joshua wanajua walitendalo na wakipatacho

Ukweli umeongea mkuu
 
Siku za mwisho zime karbia kabisa hawa manabii wa misimu wata ondoka na wengi!
 
mauzo mil 2, mtaji matumizi mengine ~ 1m = faida ~1m/day x miezi 3(siku90) = faida kwa miezi 3, 90m.

Fusso >40m x 2 = >80m
coaster >30m x 3 >90m
nyumba> 25m x 2 = >50m.
Jumla >220m.
Jumla kuu (>130m)

Mkuu unadaiwa si chini ya 130m

kwa mahesabu haya huu utajiri ni kweli kabsa kwani mwez wa kwanza ana fuso moja pata picha tripu za fuso mwezi mzima + intrest za mgahawa mwez wa pili kachukua costa mbili na ujenzi nyuma zote mbili wa tatu faida ya costa 2+fuso1+ mgahawa...nymba zinamalizika na chenji inarudi ukizingatia hamna pombe wala mademu ni damu ya Yesu daily all ths is very possible
 
milion 2 ndani ya miezi 3 ni milioni 180 (2 mara 90 = 180)! Inawezekana vipi kwa milion 180 uweze kununua fuso 2, coasta 3 pia ujenge nyumba 2, restraurant 3? Innocent chacha hebu fafanua vizuri.

kwahiyo umeambiwa niliponunua hizo coaster na fusso nikazifungia chumbani. zilikuwa hazizalishi?
 
Last edited by a moderator:
mauzo mil 2, mtaji matumizi mengine ~ 1m = faida ~1m/day x miezi 3(siku90) = faida kwa miezi 3, 90m.

Fusso >40m x 2 = >80m
coaster >30m x 3 >90m
nyumba> 25m x 2 = >50m.
Jumla >220m.
Jumla kuu (>130m)

Mkuu unadaiwa si chini ya 130m

sijasema haya yote nimeyafanya usiku wa kuamkia leo. Unapopigia mahesabu mapato ya restaurant peke yake sijui una maana gani. Hizo coaster na fusso zimefungiwa chumbani?
 
hongera Yesu anaweza.....waache na porojo zao songa mbele
 
Unajua watu waga tunatfsir vibaya kuhus tb joshua lakin kiukwel yule ni mchungaji na maji yale yanasaidia bt ukiwa na iman....ni sawa na ss wa roman katolik unaeza chukua maji kansan kwa ajil ya ulinzi imean hao watu ni mung kawaandaa special coz yule c kama wachungaj wet wa ckiz mara hela mara nn yule wala na ndio maana anaaminiwa na dunia nzima na si bara la afrika tu....na pia wanadamu tunatakiwa kufuata maneno na si matendo yan kwa tb joshua weng wanasema kwamba anatumia nguv za giza mara free mason bt tuspende kuamin ivo biblia Inasema usmhukum mtu kabla ujahukumiwa akuna mtu katika dunia hii aliyemsafi yan ajawah tenda dhambii mung pekee ndio anajua
 
Heading yako iko vizuri kuwa TB Joshua amekupa utajiri. Umekosea hapo mwishoni ulipomtaja Yesu kwani hakuna uhusiano wa anointing water na Neema ya Bure iliyotolewa na Yesu Kristo wala haiuzwi kwa bei yeyote. Hiyo anointing water ni ibada ya sanamu na ushirikina ambayo chanzo chake ni shetani. Shetani anasema ukinisusujudia na kunitumikia nitakupa milki yote ya dunia. Yesu anasema tafuteni kwanza ufalme wa mbinguni na haki yake na hayo yote mtazidishiwa...hapo usimmsingizie Yesu.

nimekuelewa 100%
 
total confused
Kondoo wa bwana wanayumbishwa mpaka inatia huruma.
bad news
 
Unajua watu waga tunatfsir vibaya kuhus tb joshua lakin kiukwel yule ni mchungaji na maji yale yanasaidia bt ukiwa na iman....ni sawa na ss wa roman katolik unaeza chukua maji kansan kwa ajil ya ulinzi imean hao watu ni mung kawaandaa special coz yule c kama wachungaj wet wa ckiz mara hela mara nn yule wala na ndio maana anaaminiwa na dunia nzima na si bara la afrika tu....na pia wanadamu tunatakiwa kufuata maneno na si matendo yan kwa tb joshua weng wanasema kwamba anatumia nguv za giza mara free mason bt tuspende kuamin ivo biblia Inasema usmhukum mtu kabla ujahukumiwa akuna mtu katika dunia hii aliyemsafi yan ajawah tenda dhambii mung pekee ndio anajua

Matapeli akina Joshua wanafurahia sana kupata wafuasi kama hawa ambao hawajiatambui wala hawana habari kusoma neno la Mungu ili wapate maarifa ya kuwasadia kujua neno la Mungu na kutambua manabii wa uongo kama walivyotabiriwa na Yesu mwenyewe.Hawataki kujua mapenzi ya Mungu ni yepi bali hupenda kusikiliza hadithi laini zidanganyazo za hawa matepeli akina TB Joshua. Kweli tuna kazi kubwa waTZ maana huu mzigo utaturudia sisi wenyewe!
 
Simwamin tb joshua namwamin mungu pekee.....na wasiwasi we ni mpagani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom