Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,788
TB JOSHUA ni mtumishi wa Mungu. Anointing water ni damu halisi ya YESU
Conclusion: Hatimaye Ukristo umepotea njia na kuwa USHIRIKINA wa grade A.
This is for the awake only: Kuna tofauti gani kati ya kwenda Lagos na kwenda Bagamoyo au Kigoma na kurudi na 'anointing water' ya kupulizia (kunuizia) kwenye biashara yako?
... ukristo upo njiapanda. Tusuburi yatakayofuata baada ya 'dawa mpya' kuishiwa nguvu. Watanzania tutatoana kafara, maana ni wengi wanaoelekea kuukumbatia ushrikina kwa kupitia huu mlango wa nyuma.
Tunataka matokeo ya haraka bila kanuni zake. NI HATARI KUBWA. God bless our nation.
Actually unamtumikia shetani bila kujua... Yesu sio wa kuhusishwa na biashara za laki mbili kua milioni mbili.
Haya makanisa yenu haya balaa sana..There are no shortcuts in life hao kina TB joshua wanajua walitendalo na wakipatacho
mauzo mil 2, mtaji matumizi mengine ~ 1m = faida ~1m/day x miezi 3(siku90) = faida kwa miezi 3, 90m.
Fusso >40m x 2 = >80m
coaster >30m x 3 >90m
nyumba> 25m x 2 = >50m.
Jumla >220m.
Jumla kuu (>130m)
Mkuu unadaiwa si chini ya 130m
hayo maji yanauzwa sh. ngapi
mauzo mil 2, mtaji matumizi mengine ~ 1m = faida ~1m/day x miezi 3(siku90) = faida kwa miezi 3, 90m.
Fusso >40m x 2 = >80m
coaster >30m x 3 >90m
nyumba> 25m x 2 = >50m.
Jumla >220m.
Jumla kuu (>130m)
Mkuu unadaiwa si chini ya 130m
elfu 80 tu
Heading yako iko vizuri kuwa TB Joshua amekupa utajiri. Umekosea hapo mwishoni ulipomtaja Yesu kwani hakuna uhusiano wa anointing water na Neema ya Bure iliyotolewa na Yesu Kristo wala haiuzwi kwa bei yeyote. Hiyo anointing water ni ibada ya sanamu na ushirikina ambayo chanzo chake ni shetani. Shetani anasema ukinisusujudia na kunitumikia nitakupa milki yote ya dunia. Yesu anasema tafuteni kwanza ufalme wa mbinguni na haki yake na hayo yote mtazidishiwa...hapo usimmsingizie Yesu.
Unajua watu waga tunatfsir vibaya kuhus tb joshua lakin kiukwel yule ni mchungaji na maji yale yanasaidia bt ukiwa na iman....ni sawa na ss wa roman katolik unaeza chukua maji kansan kwa ajil ya ulinzi imean hao watu ni mung kawaandaa special coz yule c kama wachungaj wet wa ckiz mara hela mara nn yule wala na ndio maana anaaminiwa na dunia nzima na si bara la afrika tu....na pia wanadamu tunatakiwa kufuata maneno na si matendo yan kwa tb joshua weng wanasema kwamba anatumia nguv za giza mara free mason bt tuspende kuamin ivo biblia Inasema usmhukum mtu kabla ujahukumiwa akuna mtu katika dunia hii aliyemsafi yan ajawah tenda dhambii mung pekee ndio anajua
Matapeli akina Joshua wanafurahia sana kupata wafuasi kama hawa ambao hawajiatambui wala hawana habari kusoma neno la Mungu ili wapate maarifa ya kuwasadia kujua neno la Mungu na kutambua manabii wa uongo kama walivyotabiriwa na Yesu mwenyewe.Hawataki kujua mapenzi ya Mungu ni yepi bali hupenda kusikiliza hadithi laini zidanganyazo za hawa matepeli akina TB Joshua. Kweli tuna kazi kubwa waTZ maana huu mzigo utaturudia sisi wenyewe!