Tb Joshua alivyonipa utajiri

Mwenzenu akili zimemruka nyie badala ya kumsaidia mnampa za uso. Ukute hayo yote aliyoandika kumbe alikuwa anawaza tu hakuna uhalisia si mnajua tena walokole wengi ni machizifresh?
 
Note
When a sickness/disease become a case no doctor/medicine can heal unless Jesus
 
JF raha sana comment tu watu wanatoana kamasi msisahau baadh ya mada na comment are not real ni kuchangamsha akili.
 
Kwako mtoa.mada INNOCENT CHACHA
TB JOSHUA Hajawahi KUMPA mtu utajiri na haitakuja itokee pls rekebisha heading yako.
Unless u don't know who is senior prophet TB Joshua.
 
Akili ya mwanadam inaendeshwa na tamaa hawa wajasiriamali wametumia hiyo nafasi kupitia mambo ya imani hapo namkumbuka milionea babu wa loliondo alipata nafasi akaitumia
 

Miezi 3, unasema unaingiza ghafla million mbili kwa siku, 3 X 30 X 2,000,000 = 180,000,000

Fuso moja mtumba ni Million 300, kama unabisha Muulize Mbowe wa Chadema au wafuasi wake , wewe si mmoja wapo?

Sasa hapo chalii hata fuso moja hazitimii hizo hesabu zako. Kajipange upya.

Ukiniambia kazi yako ni jambazi ntakubali, unaweza ingiza hata zaidi ya hivyo kwa ujambazi.

Wajinga ndio waliwao.
 
Hata mtu awe mjinga kiasi gani akisoma maneno hayo mekundu atajua kuwa huo ni ushirikina kabisa. Chukua tahadhari ndugu yangu, hizo ni mbinu za shetani. Yesu alipokuwa duniani hakutanguliza utajiri. Katika mafundisho yake yote aliwasihi watu watangulize UFALME WA MUNGU kwanza sio magari na biashara.
Muombe Mungu akusaidie kuondoka kwenye mtego uliojiingiza mwenyewe kama kipofu. Kumbuka si kila muujiza unatokana na Mungu. Musa alipobadili fimbo yake ikawa nyoka hata wachawi waliweza kubadili fimbo zao pia! Take care.
 
Huwezi kupata utajiri huo kwa miezi mitatu.... ukizingatia chanzo chako cha M2/day makusanyo na sio profit? Hujui kudanganya
 

Wanaosema huyu jamaa ameandika ndoto alizo ota usiku, wako sahihi kwa asilimia mia!
 
mauzo mil 2, mtaji matumizi mengine ~ 1m = faida ~1m/day x miezi 3(siku90) = faida kwa miezi 3, 90m.

Fusso >40m x 2 = >80m
coaster >30m x 3 >90m
nyumba> 25m x 2 = >50m.
Jumla >220m.
Jumla kuu (>130m)

Mkuu unadaiwa si chini ya 130m
Mkuu huyu jamaa ni mwongo alitaka kutushika ss ambao hesabu tulifeli sasa aje apa aseme 130M alizitoa wap ili anunue vyote hivyo na kujenga
Hiii ndo the Home of Great Thinkers we must argue bhana sio kila kitu amen
 

weeeeeeee nini???? sina imani kuwa wewe ni binadamu sina haja yakukwambia mengi jini kama wewe au wewe ndio lucfer mwenyewe nini? khaaa dunia itakumfuuuuuuuuxyuu
 
Actually unamtumikia shetani bila kujua... Yesu sio wa kuhusishwa na biashara za laki mbili kua milioni mbili.

Haya makanisa yenu haya balaa sana..There are no shortcuts in life hao kina TB joshua wanajua walitendalo na wakipatacho

Pia shetani pia huanza na mema kwanza kivumbi kitafuata baadae.
 
Pole sana maana umenaswa kwenye mtego wa ushirikina bila kujua kupitia tamaa yako ya utajiri wa haraka, jiandae kulipa gharama yake hv karibuni. Labda umkane ibilis anayemtumia TB Joshua na umwamini Mungu wa kweli utasalimika. Huenda usielewe sasa hv lakini utaelewa wakati ukifika. Mungu rehemu Dunia hii dhidi ya wachungaji hawa washirikina, matapeli na wakala wa ibilisi
 

ninachoweza kusema wewe kama umekuja hapa kutangaza biashara ya hayo maji ya dola 50 ukaona utumie triki ya utajiri umechemsha kwakua umeona watz ni malofa wanapenda miujiza ya utajiri nendakatangaze hiyo bishara kibangu kwa mzee wa katapila aka transfoma pale utawakata sana ila jf utakimbizwa na mawe pole.
 

vp shangazi mbowe anaingiaje hapa?niaje sista unatutia aibu au una bifu na mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…