ctl jr
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 391
- 86
TB JOSHUA ni mtumishi wa Mungu. Anointing water ni damu halisi ya YESU
Hivi wewe uko serious kweli?
We ni zaidi ya msukule mkuu!!
TB JOSHUA ni mtumishi wa Mungu. Anointing water ni damu halisi ya YESU
Hehehehhe nakuambia yaaani watu tunakufuru ilimradi kumtukuza mwanadamu
Huwezi kuamini, mauzo yalibadilika kutoka shs laki 2 kwa siku hadi milioni 2. Watu wanajaa kwenye restaurant hadi nikaamua kuweka viti na meza eneo la jikoni na bafuni. Wateja wako radhi hata kula huku wamesimama au wamechuchumaa. Inapofika muda wakufunga huwa inabidi niwafukuze wateja vinginevyo tunaweza kukesha.
Ndani ya miezi 3, nimejenga nyumba 2, nimenunua coaster 3, fusso 2 na niko mbioni kufungua restaurant nyingine 2.
ASANTE YESU. ASANTE TB JOSHUA
Wewe ni wakala wa TB joshua unatangaza biashara yenu tu hapa!
Ivi watu, lini tutaacha upuuzi? Lini tutajielewa?
Ivi wachungaji wangekua na uwezo huo kungeanzishwa hospitali kweli???????
Huyo Yesu ameshakufa, aliebaki ni Mungu, kwanini mnadai nguvu za mfu na kuzitukuza kuliko hata alivyokuwa hai?
Kama yeye muokozi kwanini alishindwa kujiokoa mwenyewe msalabani pale?????
:think: :think: :think:

Sasa na wewe ni uharo gani huu umeandika....?
Nimegeuka TB JOSHUA? Mimi ni mnunuaji wa hayo maji si muuzaji
yesu alisurubiwa akafa akazikwa akafikia kuzimu siku ya tatu akafufuka katika wafu kama ilivyoandikwa, akapaa mbinguni amekaa mkono wa kuume wa baba toka huko atakuja tena duniani kuwahukumu wazima na wafu na ufalme wake hautakuwa na mwisho.
wafu ni pamoja na mtume mwamedi ambaye yuko jehenamu anayesubiri hukumu yake.
Povu loote hili lakutoka baada ya kuvimbiwa uji! Mudi ndiye mfu! Yesu yu hai ...... alikaa siku 2 kaburini ya tatu akafufuka!
So ukome kumwita Mungu mfu!
Kama yule wenu alishindwa kufufuka siyo Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai!
Huyu jamaa, inatakiwa akajpange upya ndo aje atudanganye tena.
tukiachana na mambo ya maji na damu na yesu
turudi kwenye financial accounting au financial management au investment analysis au hisabati rahisi tu,
kwanza nakunukuu "Ndani ya miezi 3, nimejenga nyumba 2, nimenunua coaster 3, fusso 2 na niko mbioni kufungua restaurant nyingine 2" jambo hilo haliwezekani.
tuchukulie hio milioni mbili unayopata yote ni faida tupu kwa miezi mitatu (90 x 2 = 180) milioni. hivyo vyote umefanya kwa mil 180? haiwezekani. tafuta uongo mwingine.