TB Joshu atabiri tena

Uswe tumeona live n direct from Emmanuel TV
 
Last edited by a moderator:
ni uongo TB Joshua hajatabiri hizo mambo, ni hili kanusho kaliweka kwenye official site ya huduma yake

R u watching Emmanuel TV now, check bandiko langu kwenye Hoja Mchanganyiko nimeandika kwa kirefu!
 
ni uongo TB Joshua hajatabiri hizo mambo, ni hili kanusho kaliweka kwenye official site ya huduma yake
Hacha ubishi kama hauangali TB joshua sasahivi basi usiwapotoshe wenzako
 
maombi yetu tukayafanyie wapi? Knisani kwake au hata vyumbani mwetu?
 
Uswe, hujaona utabiri fake uliotolewa kwenye internent na wa leo ni tofauti?
 
Last edited by a moderator:
Very low of him

Amekua sheikh yahya from Nigeria sasa
 
Adui mwombee njaa!

Bayen 6 Chelsea 2

Acha iwe mbaya!
 
nasikitika utabiri wake utamtokea puani..... chelsea anapigwa bao mbili saafi...
 
kama hakuna nabii mwingine baada ya Yesu, Yohana wa kitabu cha ufunuo kitabu cha mwisho kabisa cha biblia ninani?
 
huyo jamaa ni kama anachanganyikiwa vile
 
Nimemsikiliza jana akitabiri simba kushinda tano bila na kweli yanga kachapwa goli hizo
TB Joshua sio mchezo
OTIS
 
K-nya anye kuku,ak-nya bata mchafu!sasa huyu TB JOSHUA NA MAREHEMU SHEIKH YAHYA HUSSEIN WA tz kuna tofauti gani? mbona huyu watu wanamshabikia???
 
Sikweli kwamba 'katabiri tena' maana hakuwahi kulizungumzia hilo, ndo kwanza 4 the very first time amelizungumzia,so thread nayo inadanganya! Waukweli sana TB JOSHUA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…