TAZARA duh!!

TAZARA duh!!

RayB

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2009
Posts
2,751
Reaction score
201
View attachment 9850

Katika maisha yangu ingawa sijawahi kutumia usafiri wa reli kwa Tanzania, lakini niliamini kuwa reli ya Tazara ni bora na walau kidogo unaweza kumpeleka mgeni wako lakini hiki kipindi cha jana BBC 4 wamemwaga radhi kabisaaaaaaaa sasa kama hii ni TAZARA vipi TRL?

Kama so mvivu chek hii

http://www.bbc.co.uk/programmes/b00s6bgw
 
Mkuu, kama unaona basi ina maana uko UK. Wengine tulioko huku Sikonge inaseme "Sorry!!"
 
Bibie, kama unaona basi ina maana uko UK. Wengine tulioko huku Sikonge inaseme "Sorry!!"

Mh Sikonge ntake radhi hapo kwenye bold kwanza halafu sorry sijui kama haiwezi kuonekana kwa huko ila ni documentary imeanika yote kwa kweli
 

Attachments

  • Image001.jpg
    Image001.jpg
    28.3 KB · Views: 43
Mh Sikonge ntake radhi hapo kwenye bold kwanza halafu sorry sijui kama haiwezi kuonekana kwa huko ila ni documentary imeanika yote kwa kweli

Niliandika nakiwaza kiuno kisicho namfupa cha RAY C. Kumbe wee ni RAY B. Sawa mkuu, wewe ni BWANA siyo? Tuendelee na mengine na samahani kwa usumbufu ulioupata.
 
Hata huku kwangu eastern USA inasema "not available in yr area." Tufanyieni maarifa ibandikwe hapa.
 
Nadhani ingeleta maana sana kama ingeweza kuwa available in full. Au Ray B tupe japo kwa muktasari ili tuelewe kiundani, till maarifa yapo fanywa na wengine kuhakikisha tunaipata
 
Nitaipata wapi hiyo UK proxy?

Proxies zinapatika online, ukitafuta google " free elite uk proxies"
utapata ambazo unaweza kuweka kwenye browser yako. Proxy
huwa zina mfumo huu IP😛ort

Ukisha iweka kwenye browser utakuwa unaonekana kama uko UK
hatakama wewe uko Tanzania au US, kompyuta haitajua (connection
will be tunneling through proxy). Ila hakikisha ume safisha cookies/cashe


Kama hujui proxy nini au jinsi ya kuiweka kweye browser basi
nenda kweye hii website ili u-download software ambayo itabadilisha
proxy kweye network yako. Unaweza chagua proxy za UK, Canada, US,
Hong khong n.k

Hii program unalipia lakini unaweza kutumia bure kwa siku 14.

http://www.hide-my-ip.com/
 
Back
Top Bottom