Tazameni uongo wa Mathematics

Tazameni Uongo Wa Mathematics

Eti: 8 x 0 = 0

Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?πŸ€”
Achana
Tazameni Uongo Wa Mathematics

Eti: 8 x 0 = 0

Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?πŸ€”
Tuifanye uachane na kuzidisha hizo Kuku 8 kwa 0,
Wewe fanya kuchukua hao Kuku nane ugawe kwa 0 utajua watakapoenda.
 
Genius
 
Nikiwala inakuwa nane kutoa nane ndo wanabaki sifuri, sasa hapo sijala wala kutoa kuku hata mmoja.
Kama hujawala basi hao huna umewafikiria tu.

Kuku 8 ulionao ni 8 x 1.

Kuku 8 x 0 maana yake hao kuku huna unawafikiria kichwani tu.
 
Sifuri imezidishwa mara idadi ya kuku ulio nao
0 maana yake hauna kitu hata kama zikiwa 0 ngapi, mimi nina 8 kama 8 yaani ila kwa uongo wa mathematics inapotea bila hata kutoa wala kuitumia.
 
Kutoka kujadili EPA, escrow ,richmond hadi 8x0 ?? Hakika jf sio tena ile ya mwanzo.

Vigezo vya kujiunga jf viongezwe
 
Tazameni Uongo Wa Mathematics

Eti: 8 x 0 = 0

Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?πŸ€”
Hiyo 0 ni yai la kuku, sasa inabidi ujiulize kati ya kuku na yai ni yupi alianza kuwepo. Maana yake aliyeanza kuwepo ni yai, kwahyo kuku wako wamerudi ndani ya yai. Wala usiwatafute
 
Sio kweli, kuku sifuri ni huna kuku, kuku wanane ni unakuku wanane, ni vitu viwili tofauti
Kuku unao kizidishio ndio huna ambacho ni 0 ila kuku unao 8 elewa ( 8x0)
 
Yani mkuu ntakuramba kibao Cha kisogo ....Hadi utapike hao kuku ..

Rudisha kuku bandani na ujinga wako na hao walim wa hesab Allah....

Mnataka mfiche kuku mkabetie huko .
Mseme mmezidisha Mara sifuri...
Ujinga wenu huo na walim wako.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tazameni Uongo Wa Mathematics

Eti: 8 x 0 = 0

Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?πŸ€”
Fanya 0 x 8, yaani zero ziwe 8, unapata ngapi jumla?
 
Tazameni Uongo Wa Mathematics

Eti: 8 x 0 = 0

Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?πŸ€”
Sifuri ni kitu kibaya sana ukijua vizuri! 1,000,000x0=0.
 
Tazameni Uongo Wa Mathematics

Eti: 8 x 0 = 0

Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?πŸ€”

Hiyo ni sawa na kusema SINA KITU.
Hata ungeitamka ( Zidisha) mara 8😁

8 x 0 = 0 x 8
 
Tazameni Uongo Wa Mathematics

Eti: 8 x 0 = 0

Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?πŸ€”
kwel bhn zimeenda wap???
 
Kuzidisha kwa maana nyingine ni kujumlisha kwa idadi ile unayozidisha...

Mfano 8 x 2 ni sawa na 8 + 8;
8 x 3 ni sawa na 8+8+8;
8 x 0 ni kwamba hio nane yako haujaingoze kwahio ni 0
8 x 1 ni kwamba ni 8 peke yake ambapo jibu ni nane...
Nilitaka nieleze hivi ila kama na hapa hajaelewa basi abinywe aseme akili ameweka wapi...!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…