Gambamala
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 1,045
- 766
Si jambo la kawaida kuona Rais mwenye nguvu kubwa duniani akitembea mtaani. Obama alihamua kutembea mtaani na kuacha watu midomo wazi wasiamini kilichochotokea, baadhi walimuuliza kama kweli ni yeye au macho yao yanawadanganya. Ilitokea wiki iliyopita. Bofya hapa https://www.youtube.com/watch?v=R3RiXNQ2Hv8