Tazama Obama alivyopagawisha watu bila kutegemea

Hao watu wameandaliwa mkuu, mnyamugi kama mimi siwezi kuingia kwenye huo ulinzi.

Umeona wana usalama walivyojipanga? Inaonesha jinsi gani hyo imepangwa.
 
Hao watu wameandaliwa mkuu, mnyamugi kama mimi siwezi kuingia kwenye huo ulinzi.

Umeona wana usalama walivyojipanga? Inaonesha jinsi gani hyo imepangwa.

lazima itakuwa ilipangwa. kuna rais mmoja tu aliyejaribu kuwa raia wa kawaida na akaishia kuuliwa. aliitwa Alof Palme. watu wa usalama hawawezi kuruhusu rais akazagaa tu mtaani kama raia. noooo way...........
 
Mbona kuna rais alikuwa anatembelea baiskeri na hakuwa na ulinzi?? Hivi raisi wa nchi gani vile ?? Wanasema ni raisi maskin na ktk asilimia flan ya mshahara wake alikuwa anachangia kodi ya taifa lake
 
Mbona kuna rais alikuwa anatembelea baiskeri na hakuwa na ulinzi?? Hivi raisi wa nchi gani vile ?? Wanasema ni raisi maskin na ktk asilimia flan ya mshahara wake alikuwa anachangia kodi ya taifa lake
PERU aU Bolivia
 
Cha ajabu ni nini. Hofu za kiubinadamu. Kama umewakosea watu wako lazima uhofu. Hata m/kiti wa mtaa atakuwa na hofu kwa wananchi wake endapo anaenda sivyo ndivyo
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom