Tazama muda unavyokwenda mbio

Imesaidia sana kutujenga.haya watoto wa2000 nanyie kaz kwenu na"mashujaaz
 
Seki kapotelea wapi
Si alikuwa wasafi au ashaacha.
East africa radiona tv mtoto wa mengi alikufa na ndoto zake. Zilikuwa za moto balaa nakumbuka city sound, zina watangazaji kila nchi za EA. Akina busha baby uganda, kulikuwa sijui na nani kenya
 
Bila kusahau, kutana na bahati ubaatike, na shangazi akijibu maswali ya mada za ndoto nyevu, mimba, balehe na utelezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…