Leo ni tarehe 1 November 2026 Saa 6:00AM, usiku,Kwa muda wa kitanzania, tunamshukuru Mungu kutufikisha salama mwezi tuliousubiri muda mrefu.
Msikubali kutengeneza msafara Wala tukio lolote la kukusanya umati wa watu kuandamana kuelekea ofisi za chama au mkutanoni kuhutubia akiachiwa huru.
Lissu anabeba matumaini ya wengi nchini, hivyo usalama wake ni jambo la muhimu sana. Akitoka gerezani tafadhali mchukueni mkamuweke mahali salama Hadi mtakapoona inafaa , mnajua vyema Mambo haya.
Msipuuze tafadhali,Kuna ndoto mbaya inatatiza, tafadhali Heche