Tayari Watu wameshapigwa huko!

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
3,101
Reaction score
14,248
Kila wakati watu wenye akili timamu wakijaribu kuupinga huu utapeli hapa JF watu hawaelewi wanaziba kabisa masikio!,haya sasa tayari huko watu wanalia!

Bado hao waliokuja kwa kasi ya upepo hivi sasa hapa Dar waliojaza mabango yao barabarani na kujidai wao sio matapeli,muda ni rafiki mzuri naamini vilio vitasikika.
Your browser is not able to display this video.
 
Safi kabisa acha wapigwe hamna huruma toka tapeli zoefu ONTARIO watu bado tu awajajifunza.

mrangi
 
Dah hadi picha ya mama

Cc Chura
 
Ukiitwa kwenye fursa juwa wewe Ndo fursa yenyewe.

Prince Kunta
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…