Tayari Sabaya amechomoka, kama alipewa maagizo toka juu ujambazi anahusika vipi?

Hii ni Mogadishu mji Mkuu wa Somalia, pamoja na majengo unayo yaona lakini haukaliki sababu kubwa ni kukosa Amani.
 
ila MUNGU fundi aise, kama angemuacha SPONSA SABAYA angemaliza watu wa HAI-KILIMANJARO kama tu IDI AMIN , kumbe alikuwa anatumwa na marehemu na hao wengine wawili, wa BOT na wa FEDHA, dah
 
Bado hujapanick vizuri, utapanick sana. Ule ushenzi, uhuni, uhayawani, na ukatili wa wazi tuliuona kwa macho yetu, na sio jambo la kuhadithiwa. Hicho chombo cha kusimamia huo uchaguzi, ndio kilikuwa kinatii kila atakacho yule kiongozi dhalimu. Hicho kichaka cha kusema watanzania sio wajinga, labda wa miaka ya zamani, wa sasa wote waliona ule ushenzi, lakini waliamua kukaa kimya wasije wakatekwa na lile kundi lake la Watu wasiojulikana.
 
Vipi mkuu naona kachomoka tayari.
 

Ewe Dugunde unakwitwa huku 😁😁
 
Nakusalikia mkuu, habari za tarehe 15 Oct, 2021?
 
Hii thread inanikumbusha baadhi ya thread zikitabiri JPM hamalizi muhula wa pili madarakani... watu waliongea na kutukana ilipofika 17/3/2021 thread ikafukuliwa.

Hii nayo mule mule
 
Hasa ukizingatia aliyetajwa kumtuma hayupo tena.
Na ndiye alipaswa kuwa shahidi ndiyo maana nadhani kisheria wamepindisha ili wamfunge. Nina uhakika hizi Babu Seya zipo nyingi with exception ya Rugemalira alikuwa fisadi na jizi ila katoka jela kwa mgogo wa taasisi ya urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…