Tax driver na abiria wake

Mussa kiraka

Senior Member
Mar 4, 2012
106
13
tax driver amepaki gari ghafla kaja demu uchi kapanda katika gari mazungumzo yalikua iv
Demu- nipeleke kariakoo
dereva akawa anamshangaa
Demu- unashangaa nini kwan huujui uchi wewe?
Dereva- sikushangai wewe najiuliza umeweka wapi naul yangu?
 
Nauli si ajab imefichwa makwapani! Kuna watu watataja sehemu ya ajabu hapa.
 
Kwani hakuona matundu kwenye mwili wa huyo demu?
labda ndo alitumia mojawapo kama mfuko..
 
hakunaga sehemu ya ajabu yaani inamaana wewe huwa unaishangaa tu ilivyo ya ajabu?
Mimi naishangaa ilivyo ya ajabu? Hukunipata ndugu kitalolo. Issue ni mshangao wa dreva kwamba yule dada akiwa uchi ataweka wapi hela ya nauli. Mie, kwa utani nikasuggest pengine angeweza kuweka hiyo hela kwenye makwapa yake.Katika mood hiyohiyo ya utani nikaongeza kwamba asitokee mtu kutaja sehemu ingine ya 'ajabu' ya kuweka hela.Mana yake: hiyo sehemu haitumiki kuwekea hela, ina kazi yake!
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
 
Inategemea maumbile yake kama ni kubwa kwa nyuma atakua kaweka huko huko.
 
tax driver amepaki gari ghafla kaja demu uchi kapanda katika gari mazungumzo yalikua iv
Demu- nipeleke kariakoo
dereva akawa anamshangaa
Demu- unashangaa nini kwan huujui uchi wewe?
Dereva- sikushangai wewe najiuliza umeweka wapi naul yangu?

Uwiiiii Uwiiiiii........!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom