wahusika wanye mamlaka ya kusajili tawi la CHADEMA wanatumia njia rasmi za mawasiliano, tafuta anwani zao kwenye tovuti yao, kama uko serious, badala ya kubandika post JF eti CHADEMA wawasiliane nawe humu kuhusu kuanzisha tawi, ridiculousWahusika wakiniPM na kunipa maelekezo itakuwa safi sana.
wahusika wanye mamlaka ya kusajili tawi la CHADEMA wanatumia njia rasmi za mawasiliano, tafuta anwani zao kwenye tovuti yao, kama uko serious, badala ya kubandika post JF eti CHADEMA wawasiliane nawe humu kuhusu kuanzisha tawi, ridiculous
I second you.Wazo zuri na nina uhakika as far as ughaibuni is concerned Upinzani wana wanachama wengi kuliko hao sis emu ila tu hawako kimaslahi zaidi kama hawa wenzetu.Best wazo zuri sna hata mie nataka uanachama hehe hehe ikiwezekana uweka hazina kabisaa:teeth::teeth::teeth:
msithubutu kufanya hii...CHADEMA yetu haihusiki na mambo ya nje.....HATA AMBAYE ANGEKUWA RAIS WETU ALIKWISHA PIGA MARUFUKU HII.....KUWA ASINGESAFIRI KUJA HUKO MLIKO LABDA NYIE NDO MJE HUKU NDANI......and off-course TUNGEKULA KASAVA KWA KWENDA MBELE
Mkuu lini umegeuka na kujiunga na CDM? Kama sikosei posts zako nyingi zimekuwa za kupinga hiki chama!msithubutu kufanya hii...CHADEMA yetu haihusiki na mambo ya nje.....HATA AMBAYE ANGEKUWA RAIS WETU ALIKWISHA PIGA MARUFUKU HII.....KUWA ASINGESAFIRI KUJA HUKO MLIKO LABDA NYIE NDO MJE HUKU NDANI......and off-course TUNGEKULA KASAVA KWA KWENDA MBELE
Acha hizo wewe endelea kunywa rangi ya kijani.Au umekunywa mwarubaini ghafla ukawa CHADEMA?msithubutu kufanya hii...CHADEMA yetu haihusiki na mambo ya nje.....HATA AMBAYE ANGEKUWA RAIS WETU ALIKWISHA PIGA MARUFUKU HII.....KUWA ASINGESAFIRI KUJA HUKO MLIKO LABDA NYIE NDO MJE HUKU NDANI......and off-course TUNGEKULA KASAVA KWA KWENDA MBELE
msithubutu kufanya hii...CHADEMA yetu haihusiki na mambo ya nje.....HATA AMBAYE ANGEKUWA RAIS WETU ALIKWISHA PIGA MARUFUKU HII.....KUWA ASINGESAFIRI KUJA HUKO MLIKO LABDA NYIE NDO MJE HUKU NDANI......and off-course TUNGEKULA KASAVA KWA KWENDA MBELE