Kama uko holiday unataka tawi nje la nini, nafikiri hapa kinachotakiwa si tawi CCM wana matawi mangapi nje yamesaidia nini kuwavuta vijana, kinachotakiwa ni commitment ya mtu hata kama hakuna tawi, tuna watu wengi wa aina hiyo na wanafanya kazi bila kushikilia tawi lolote na tunaona mafanikio yake, mambo ya tawi ni ya kizamani kuongeza majungu tu fulani hafai fulani anatumiwa na mambo mengine kama hayo pia ni kukaribisha traitors kwenye chama, kama uko nje pigana kiume ukiona huwezi ukiwa mbali njoo nyumbani ungana na wenzako kwenye mapambano.mKUU I THINK YOU ARE MISSING ALOT IN YOUR ANALYSIS
Kufungua tawi si lazima waige CCM but they can open as well without any problem... Ya uarabuni pamoja na historia ndefu, baadhi ya positives from their movement can be copied as well, si lazima tupitie njia ndefu
hayo ya ufisadi ni kweli kabisa
Ila la kukimbilia ughaibuni, sijui but i think other wamekwenda kutafuta elimu, others wamekimbia ufisadi, other wamefuata mkumbo, others wamepata nafasi ya kuwa na influence zaidi ya yanayotokea bongo and others are on holidays ... TUSIHUKUMU KIRAHISI KAMA UFANYAVYO WEWE