Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,858
- 90,342
- Thread starter
- #21
Si wote waliyo laaniwa, baadhi ndo wenye laana!!Nchi imelaaniwa au watu wake ndio wamelaaniwa Mkuu?
Ivi mtu ambaye havai viatu utampaje campeni ya nyumba ni choo?mirija ya kula watu wamekita miguu,haipitisi tena ujaji
Sizonje mpenda misifa alishakata kamba,ndiye aliyekuwa anamweka mjini.
Na samia hapendi shobo,sasa atakula wapi!?
Pesa ya kampeni ya Mtu Ni Choo haitmtoshi.
Kutembea peku kwataka moyo.