Tatua utata!

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,780
Laiti ingekua ni Maji/Umeme nisingekuja hapa maskani ku'seek suluhu .

Iko hivi Brother wangu amempangisha mpangaji nyumba nzima .
Kama nilivyotangulia kusema, kwamba kwa habari ya Maji & Umeme hilo duniani kote liko openly kwamba the one who responsible to pay bills ni mpangaji .

Hapa umekuja utata wa nani ni responsible wa kulipa maseptick ya vyoo vilivyojaa?
Gharama ya uvutaji currently ina play about one a hundred southrn per 1 septic .

Mpangaji kakomaa kwamba responsible to pay a certain matter is Landlord .
Landlord nae anadai ni Tenant ndiyo responsible!
Akitoa mifano kama ilivyo Maji/Umeme .

Mimi sina pahala nilipokwisha ona utaratibu legally wa kanuni wa nani alipe katika hili .
Aidha ingekuwa ni nyumba ya kibiashara e.g Hotel , Bar with related matter ningekaribia kusema Tenant awajibike .

But nyumba husika ni residentiall only.
Mimi nimeletewa kadhia hii nimechemsha nichangieje .
Seekin advice pliz wana wa Bodi .
 
Huyo mpangaji sasa ni mtata kweli kweli,kwani anaejaza vyoo nani?,mpangaji ndo yupo responsible…… akizingua amwashe vibao ampeleke kwa mjumbe nyumba 10 😂😂😂😂
 
Kama nyumba inahitaji matengenezo nani amlipe fundi? Hapo mwenye nyumba ndio responsible ama akilipa mpagaji wakatane kwenye malipo ya kodi.
 
Maneno yako yana sense akilini mwangu !
Thanks ngoja nipate na others opinions .
 
Choo ni haki ya msingi kwa kila mpangaji!Unaweza kupanga nyumba haina maji,na unaweza kupanga nyumba haina umeme!Lakini hitaji la kwanza kabisa kabla ya kuamia kwenye nyumba yoyote ni huduma ya choo!Kwa maana hii mwenye nyumba ana wajibu wa kuhakikisha wapangaji/mpangaji wake anapata huduma ya choo!

Hivyo kwa upeo wangu mwenye dhamana hiyo ya kulipia gharama hizo ni mwenye nyumba!
 
Sasa ndiyo naanza kupata picha kwamba suala la mfano huu tuujadilio hauna mfumo wa kikanuni za kisheria kwamba who is responsible?
Mhe. Sungura1988 ninasema hivi coz naona hapa napata majibu tofautitofauti .
 
Last edited by a moderator:

Kwa mtazamo wangu naona mwenyenyumba ndo yuko responsible maana ni nyumba yake,kesi kama hii ilimpata rafiki yangu miezi kama miwili mwenye nyumba alikomaa kwamba hausiki na kwakuwa wapangaji ndo wanaopata shida ilibidi wajichange wanyonye ila kiuhalisia mwenye nyumba yuko responsible
 
Niseme nimeutambua mchango wako Mhe. Daudi1
 
Last edited by a moderator:
Kwani huyo mpangaji ndiye wa kwanza kwenye hiyo nyumba? Manake kama wapo waliomtangulia basi kumbebesha jukumu hilo itakuwa si haki kwa kweli...
 
Sasa ndiyo naanza kupata picha kwamba suala la mfano huu tuujadilio hauna mfumo wa kikanuni za kisheria kwamba who is responsible?
Mhe. Sungura1988 ninasema hivi coz naona hapa napata majibu tofautitofauti .

Kweli kabisa mkuu Judgement,nadhani wale viongozi na wadau wote wa chama cha wapangaji walione hili na liwekwe kwenye mkataba ni nani atakayehusika na huduma hiyo muhimu kwa maisha ya binadamu!Maana ni sehemu pekee ambayo hata kama wewe ni mgumu namna gani lakini hapo lazima uvue tu nguo!
 
Last edited by a moderator:
Jiulize nini maana ya kulipa kodi? Wenye nyumba wengi wanasahau kwamba kodi wanazolipwa sio kwa ajili ya kula tu bali pia kufanyia marekebisho ktk nyumba zao kama vile kuziba cracks,kupaka rangi upya, marekebisho ya milango, madirisha, vyoo n.k. Unakuta wapangaji wanalipa kodi lakini nyumba imechakaa ina miaka 30 haijafanyiwa marekebisho yoyote na kila kitu mwenyenyumba anataka wafanye wapangaji kama vile ni nyumba yao. Imewahi kunikuta kwenye nyumba moja hivi kodi yangu imeisha nahama nikaambiwa niache nimetengeza kitasa kimeharibika!! Nikamuuliza mwenye nyumba nimekaa mwaka ulitegemea nyumba iwe vile nilivyoikuta? Na je nilikaa bure kwenye nyumba yako? Akanywea nikasepa. Kwa ishu ya huyu jamaa ni wajibu wa mwenyenyumba kuhakikisha mpangaji wake anakaa katika nyumba bora kwani alishalipwa kodi awajibike kunyonya hiyo kitu kwa choo.. Na kwani jamaa akiamua kuhama? Mwenye nyumba ataicha nyumba yake?
 
Kwani huyo mpangaji ndiye wa kwanza kwenye hiyo nyumba? Manake kama wapo waliomtangulia basi kumbebesha jukumu hilo itakuwa si haki kwa kweli...

Swahiba TANMO katika shauri hili linamhusu raia mmoja aliyepanga banga lote .
Si wapangaji mchanganyiko .
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa mkuu Judgement,nadhani wale viongozi na wadau wote wa chama cha wapangaji walione hili na liwekwe kwenye mkataba ni nani atakayehusika na huduma hiyo muhimu kwa maisha ya binadamu!Maana ni sehemu pekee ambayo hata kama wewe ni mgumu namna gani lakini hapo lazima uvue tu nguo!

Hapa umenena neno Sungura1988
 
Last edited by a moderator:
Jiulize nini maana ya kulipa kodi? Wenye nyumba wengi wanasahau kwamba kodi wanazolipwa sio kwa ajili ya kula tu bali pia kufanyia marekebisho ktk nyumba zao kama vile kuziba cracks,kupaka rangi upya, marekebisho ya milango, madirisha, vyoo n.k. Unakuta wapangaji wanalipa kodi lakini nyumba imechakaa ina miaka 30 haijafanyiwa marekebisho yoyote na kila kitu mwenyenyumba anataka wafanye wapangaji kama vile ni nyumba yao. Imewahi kunikuta kwenye nyumba moja hivi kodi yangu imeisha nahama nikaambiwa niache nimetengeza kitasa kimeharibika!! Nikamuuliza mwenye nyumba nimekaa mwaka ulitegemea nyumba iwe vile nilivyoikuta? Na je nilikaa bure kwenye nyumba yako? Akanywea nikasepa. Kwa ishu ya huyu jamaa ni wajibu wa mwenyenyumba kuhakikisha mpangaji wake anakaa katika nyumba bora kwani alishalipwa kodi awajibike kunyonya hiyo kitu kwa choo.. Na kwani jamaa akiamua kuhama? Mwenye nyumba ataicha nyumba yake?

Niruhusu niutambue mchango wako wa kina .
Thanks
 
Mi naona ku compromise wafanye cost sharing!

Kwa maoni haya huoni waki share expensis kila mmoja ataona amemsadia tu mwenzake na yeye si responsible ?
Solution itakua haijapatika KOKUTONA !
Itatokea siku yeyote kt yao awezakataa akidai ashamsadia sana mwenzake!
Ushauri wako utafaa sana tu , as if shauri hilo la sharing cost litabainishwa mwanzoni mwa mkataba wa kupangishana .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom