Mnondwe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 4,012
- 3,683
Hartiti zipo,kanzubara zipo,pacholi zipo,pakanga zipo,nenda sokoni kariakoo utapata kila kitu.Lazima wakutajie vitu ambavyo havipo bara wala visiwani ili uwatafte
Ni sawa na kutafuta zambarau kipindi hiki,ukienda pale kisutu uhindini hakuna msimu wa matunda,nanasi unapata kipndi hiki.
Ondoeni tatuzo lenu,munaliwa ela tu,mkombozi huyo kaja.