Tatua tatizo la uume mdogo

Tatua tatizo la uume mdogo

V8 sasa halafu iwe na 500CV mashine Turbo kwenye tope, jinsi aerodimic inavyofanya kazi hata haina haja ya Kers wala DRS zone ukifika unafanya overtake tu bila kuangalia sight mirror

Khaaaa, mkuu ungekuwa karibu ningekupa mkono nashkuru sana kiongozi kwa kuliona hilo.

Sight mirror inakuwa haihusiki hapo coz hata kama mtu yupo nyuma yako ataendelea kubaki nyuma tu pindi una-overtake. Ni hatari sana.

Umechaambua kitaalam mno. Asante.
 
Mkuu, hata mwenye V8 angeweza kununua vitz na angefika safari yake kiongozi, ila kuna njia nyingine kupita kwake lazma ukahurumie ka-vitz kako ndugu.

Ila unapokuwa na V8 unakuwa unajiamini kwa asilimia mia moja kiongozi.

Karibu Sana mkuu.
Mhhh!!!watu mna maneno!?hatari sana
 
kuna watu hawana akili watakunywa at the end hahahaaaa

ingiza hartiti *****.,...hartiti ndo nini??? hahahaaaa
 
Salaam/Shalom.

Natumai mu-wazima nyote. Bila ya kupoteza muda ningependa kutoa hii tiba hapa kwa wale wanaosumbuliwa na tatizo la sehemu zao za siri kuwa ndogo/fupi (hasa kwa wanaume).

Tatizo hili limekuwa likiwakosesha wanaume wenye tatizo hili amani na hata raha ya kuwa na mahusiano na wenza wao. Ni tatizo linalosababisha mahusiano mengi kutodumu na kuathiri sana wengi wao psychologically.

Hupelekea mtu kuamua kuwa mwenyewe pasina mahusiano akihofia kutodumu kwa mahusiano hayo au hata kudhalilishwa mbele za watu hasa anapokuwa na mpenzi asiye mstaarabu au pale mapenzi yanapofika kikomo siri za ndani zote hutolewa hadharani. Mtu huona ni bora kuwa peke au kutafuta ONE NIGHT STAND (machangudoa) au kufanya masturbation ili kumaliza hamu yake wakati bila kujua kwa njia moja au nyingine ndio anazidi kujiumiza na kufanya tatizo kuwa sugu kabisa na kusababisha matatizo mengine kama kulegea kwa uume n.k.


Nini cha kufanya ?.
Sitaki kusema kuwa watu wanione PM ili niwape dawa HAPANA ; Dawa ntaitoa hapahapa na maelekezo yake yote jinsi gani ya kufanya, na kwa mwenye swali lolote ataniuliza kama hajaelewa sehemu au kama atahitaji kusaidiwa kutengeneza hiyo dawa ni sawa pia na ni bure kabisa. Narudia tena ni BURE kabisa coz niko hapa kusaidia.

Sasa, kama utakuwa na ndugu, rafiki, jamaa yako wa karibu au hata kama ni mpenzi wako (kwa wanawake) waweza kumsaidia ili aweze kuondokana na tatizo hilo In Shaa Allah.


Mahitaji :-
1 ). Mafuta ya Zaituni (Olive Oil).
2 ). Hartiti kichupa kidogo.
3 ). Maji ya moto kiasi si sana.


Utayarishaji.
- Chukua mafuta ya Zaituni (Olive Oil) kiasi cha 100ml na Hartiti kiasi cha kichupa kimoja kidogo.

- Changanya vyote kwa pamoja vizuri mpaka vichanganyike sawasawa kabisa, ukishamaliza hapo hatua ifuatayo ni...


Matumizi.
- Jinsi ya kutumia yatakiwa kuchukua mchanganyiko wako na kuanza kuichua dhakari/uume wako kiasi cha kuhakikisha imepata msisimko. Fanya hivyo kiasi cha mara tatu hivi.

- Baada ya hapo iache dhakari/uume wako kwa kiasi cha dakika 5 hadi 10.

- Kisha ioshe kwa maji moto uliyokwisha yaandaa kabla. Baada ya kuiosha tu chukua unga kidogo wa Hartiti kisha ingiza kwenye tundu ya dhakari yako vizuri. Ingiza unga kidogo tu kutokana na tundu yenyewe kuwa ni ndogo hivyo ingiza unga kiasi tu wa Hartiti.

Baada ya dakika 3 hadi 5 kuna mabadiliko utayahisi kuwa dawa yaanza kufanya kazi. Fanya zoezi hili kwa muda wa siku 15 hadi 21.

Kwa yeyote mwenye swali aweza kuniuliza aidha hapa ama pm ni ruksa tu vile upendavyo, na pia nawahakikishia kuwa tutakuwa bega kwa bega na wale ambao ni wagonjwa wa tatizo hili kwa maswali, maoni au ushauri usisite kuniuliza chochote utakachojiskia. Karibuni Sana.

AHSANTE.
Dunia hii bora kukosa mali kuliko akili!
 
Jaman hartiti ndio nini ? Na inapatikana wapi ?

Mkuu, umesoma maelezo yote yaliyopo kwenye mada husika kiongozi...?.

Mbona imeelezwa vya kutosha ndani ya mada husika mkuu...?.
 
Mkuu, umesoma maelezo yote yaliyopo kwenye mada husika kiongozi...?.

Mbona imeelezwa vya kutosha ndani ya mada husika mkuu...?.

Sasa mbona hiyo dawa vipimo vyake kama vina utata? kwa sababu umesema Olive oil unapima mls 100 lakini Harititi unapima sawa na kichupa kidogo,sasa hicho kichupa kidogo ni cha ujazo upi?huoni hapo ni kama kutakuwa hakuna ulingano? kwani mafuta umetaja kipimo, lakini dawa ambayo ya unga hujasema kipimo kwani kipimo cha unga ni gramu,kwa niaba ya wengine hebu fafanua hili kwanza.
 
Sasa mbona hiyo dawa vipimo vyake kama vina utata? kwa sababu umesema Olive oil unapima mls 100 lakini Harititi unapima sawa na kichupa kidogo,sasa hicho kichupa kidogo ni cha ujazo upi?huoni hapo ni kama kutakuwa hakuna ulingano? kwani mafuta umetaja kipimo, lakini dawa ambayo ya unga hujasema kipimo kwani kipimo cha unga ni gramu,kwa niaba ya wengine hebu fafanua hili kwanza.

Ni swali zuri kiongozi wapo ambao nilishawajibu hili.

Well, kwa niaba ya wengine ni kwamba jinsi ya kuchanganya mafuta na hiyo Hartiti unachanganya kwa kukadiria/kuangalia kwa macho tu. Nikiwa na maana kuwa uchanganye mpaka utakapopata mchanganyiko ulio na uzito kama mafuta mazito ila isiwe kama mafuta mgando iwe kama na uzito flani hivi.

In short naweza kusema uifanye iwe kama paste hivi. Nadhani ntakuwa nimeeleweka uzuri. Shukran.

Karibu Sana.
 
Back
Top Bottom