Tatua tatizo la uume mdogo

Tatua tatizo la uume mdogo

Jumla ya zote hizo umenunua kwa bei gani? tupe faida na sisi wengine kabla vijihela havijakwisha ili tukanunue kusudi tuongeze heshima hapa mjini,maana naona dharau zimezidi,kila siku oohoo bamia, bamiaa,sasa nataka niwe na tango mie nisikie watasemaje

c87e1938db5d545bd8c37a8c51b7cd2e.jpg
mjomba unataka V 12 hahahhahahahha
 
Jumla ya zote hizo umenunua kwa bei gani? tupe faida na sisi wengine kabla vijihela havijakwisha ili tukanunue kusudi tuongeze heshima hapa mjini,maana naona dharau zimezidi,kila siku oohoo bamia, bamiaa,sasa nataka niwe na tango mie nisikie watasemaje
Olive nimenunua ya elfu kumi na hartiti nimenunua kopo moja 2500.........vote nimenunua kwa muhindi Disut maana Niko Arusha Karina na jogoo house
 
Nashkuru sana mkuu.

Ila usisahau kunishkuru utakapofanikiwa baada ya kumaliza tiba kiongozi.

Karibu Sana.
Yah bro hata nilipofika kwa muhindi kaniambia kuna watu wawili wamenunua na mmoja kaskia dawa jamii forum kaka wananunua wote ila wanaogopa kusema...sante na nimeanza dozi kaka...Asante
 
Maasha-Allah.

Vyema kabisa kiongozi tuko pamoja mkuu.

Welcome Bro.
 
Back
Top Bottom