Tatua tatizo la uume mdogo

Tatua tatizo la uume mdogo

Wewe umewahi kufanya hilo zoezi? Au kuna mtu alipona
Mimi niko vizuri namshkuru MUNGU nashindwa tu Kunionyesha ila faham kuwa niko vizuri Maasha-Allah. Alhamdulillah.

Ndio wapo waliotumia wakafanikiwa kuwa sawasawa kiongozi ijaribu tu wala usiwe na shaka, nakuhakikishia lazma uwe sawasawa mkuu.

Karibu Sana.
 
Mtu amejitolea kusaidia na amewaambia hizo dawa zapatikana na haja na hela zenu nyinyi mnakejeli na unakejel sababu wewe unajiona mzima lakin hujafa hujaumbika,hongera wewe ulie mkamilifu unaekejel anaejarib kutoa msaada kwa wenye matatizo.
Msamehe bure tu mkuu. Thanks.
 
Swali jingine Ustadh,je huko kuchua mpaka isisimke naweza kuchua kama napiga nyeto?na ile hartiti kidogo ya mwisho nayoingiza kwenye tundu naiacha kukohuko?au baada ya mda naitoa?
 
Ustadh nimefanikiwa kununua hivi vitu viwili... Je hako kakopo kadogo ndio hartiti yenyewe??? Nmeshindwa kusoma kiarabu View attachment 400869
Naaaaam. Swadaktah.

Ulivyofika si ulisema Hartiti au uliwaambia wakupe nini mkuu...?.

Na kuna chupa zinatofautiana lakini bidhaa ni hiyo hiyo moja kama hiyo Olive oil pia si ulikuta kuna chupa zipo tofauti na hiyo uliyochukua mkuu, naomba unuse hiyo Hartiti kisha uniambie umeskia harufu gani...?.

Na maandishi ya kiarabu hapo siyaoni vizuri mkuu picha imefifisha maandishi kiongozi, fanya nlivyokwambia unipe jibu mkuu.

Karibu Sana.
 
shukran nitakupa mrejesho ila mkuu unachua mara moja tu kwa siku ama vp na inakua kwa ukubwa gani tafadhali
Kwa siku unafanya mara moja tu kiongozi na kadri utakavyoendelea na matumizi ndivyo utakavyozidi kuona mabadiliko kiongozi.

Yategemea na size ya dhakari uliyonayo mkuu.
 
Nimesoma hii kitu tangu mwanza mpaka mwsho ww ndo wa kwanza kukubali hakika ukilta mrejesho wengi watakubaliana na maalim hapo
Karibu mkuu.

Waweza kujaribu halaf utaniambia kiongozi hii dawa ni mujarrabu mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom