Tatua tatizo la uume mdogo

Tatua tatizo la uume mdogo

Hakuna tabu maalim pmoja sana kwa kuleta dawa na je inafanya kazi kwa wat wa umri ganiiii maana wngine humu wamekwenda age
 
Swali jingine Ustadh,je huko kuchua mpaka isisimke naweza kuchua kama napiga nyeto?na ile hartiti kidogo ya mwisho nayoingiza kwenye tundu naiacha kukohuko?au baada ya mda naitoa?
Huko ndiko kuchua nnakokuzungumzia ila hakikisha haumwagi mbegu ukishahisi msisimko tu iache dhakari mara moja itulie kisha rejea tena mara tatu kisha iache kwa dakika kama kumi hivi ioshe kwa maji moto na uifute ndio uweke ule unga kiasi.

Huo unga usiutoe ndio unaofanya kazi kiongozi usije ukaharibu tiba mkuu.

Karibu Sana.
 
Hakuna tabu maalim pmoja sana kwa kuleta dawa na je inafanya kazi kwa wat wa umri ganiiii maana wngine humu wamekwenda age
Kumbuka hii sio dawa ya nguvu za kiume hii ni dawa ya kukuza uume mkuu.

By the way sjajaribu kwa watu ambao ni wazee mkuu isipokuwa vijana, labda kwa mzee pia yaweza kufanya mkuu.

Karibu Sana kiongozi.
 
Kama Mungu alipanga uishi na umbile hilo la sasa! Je kuna sababu ya kwenda kinyume na hilo?
Niambie sababu zinazopelekea hii hali au unadhani wote wamezaliwa na hali hii mkuu...?.
 
Kumbuka hii sio dawa ya nguvu za kiume hii ni dawa ya kukuza uume mkuu.

By the way sjajaribu kwa watu ambao ni wazee mkuu isipokuwa vijana, labda kwa mzee pia yaweza kufanya mkuu.

Karibu Sana kiongozi.
Ok nimkupta mkuuu
Pmja sana
 
Ww ndo umeongea kiongoz unajua una mashine inch 5 unaenda kutafuta jike shupa lishapalamiwa mpaka basi unategemea nn?
Halitssikia kitu ndiovhapo akikohoavtubimetoka au avuta sigara wewe waninginia hana habari
Wa nchi 5 tafuta raundi isiozidi inch 3 hapo hata akikohoa ndio anaishusha chini haitoki
 
Kwa sababu mafuta ya nazi ni mafuta ya nazi na Zaituni ni Zaituni ni vitu viwili tofauti kabisa.

Na pia kwa sababu Hartiti ni Hartiti na hivyo ulivyovitaja haviwezi kufanya kazi inayofanywa na Hartiti that's why tunatumia Hartiti.

Karibu Sana.
Labda hujanielewa , nilichokuwa namaanisha hivyo vitu vina nini ndani yake why watu watumie hizo ingredients, kitaalamu kuna madini gani hasa ambayo yanasababisha runguleeee likue.
 
Waganga wengi wanatumia viungo toka uarabuni na india wakidai ni dawa wanatengeneza.
Unakuta kichupa kipo sild kabisa alafu jamaa mbwembwe kibao kumbe hamna kitu
 
Kazi kweli mkuu, kama hiyo hartit najua kama kiungo cha chakula sa kwenye tiba sijui imefika vipi
Waganga ni matapeli wakubwa sana. Nliona jamaa ananywesha watu viungo toka uarabuni, vina harufu nzuri sana anadai ni kinga yani hakulogi mtu.
Alichokosea alifungua kichupa nikiona kwamba kimetoka kiwandani akachana kikaratasi chake.
 
Back
Top Bottom