Kwa sababu mafuta ya nazi ni mafuta ya nazi na Zaituni ni Zaituni ni vitu viwili tofauti kabisa.Kwanini olive oil sio mafuta ya nazi au ya alizeti na kwanini hartiti sio upupu au amira au udongo
Kama haitoshi shindiria na mchanga utapata matokeo mazuri zaidiWee Ingiza Hartiti tu,yaani ingizaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Hartiti...
Hapana si kweli mkuu acha kupotosha watu ndugu yangu.
iv Nin vile...???Mkuu, kwani google ina kila kitu kiongozi...?.
HartitiUsome maelezo gani mkuu...?.
Mkuu dawa yetu tunatumia kutwa mara ngapi? Au mara 1 kwa sikuUsome maelezo gani mkuu...?.