Tatu Kikwete ni jipu litumbuliwe

Tatu Kikwete ni jipu litumbuliwe

Kuna Mmoja anamwita kikwete mjomba alikuwa mpakani namanga kama Ajenti alikuwa anafanya michezo michafu na viongozi wa pale walikuwa wanapata kigugumizi alinitia hasara sitomsahau .
Yule aliewahi kusema siongei na mbwa bali mwenye mbwa?
 
Kumbe yupo pwani acha muisome namba, CCM mbele kwa mbele kudadeki TATU KIKWETE endelea ivyo ivyo nchi si yenu bana nani wa kukugusa ukimaliza kuiuwa Halmashauri amia Tabora tena mana akili zao kama pwani
 
Huyu dada pia ana sifa ya kuwajibisha waliozorota hapo halmashauri
 
Mkurugenzi ana Diploma? Mi ninachofahamu wakurugenzi wanatakiwa kuwa na masters
Kwa utawala wa JK kila kitu kiliwezekana,kwa mimi binafsi naweza kuamini labda kweli anakadiploma tu.
 
Mtuma post anaonekana dhahir kuwa chuki na majungu ndio dhamira yake mkubwa.kwa halmashauri ya kibaha vijijni INA kipato gani kikubwa mpaka mkurugenzi afikie hatua ya kujilipa Milioni tatu kila wiki? Mm nadhani labda angetuletea na vielelezo ili aweze kituaminisha khs hilo suala.lkn pili anasema mkurugenzi amekula million 90 za uchaguz,wakati anakula mtuma post alikua wapi? Mm nadhani nyuma post hana busara na yupo ktk kumchafua mtu tu kwa faida yake binafsi,kama aliyaona hayo madudu ziko mamlaka husika zina Zao shughuli ni hayo masuala angeripot muafaka ungepatikana na si jamii forum.Pia akumbuke kuwa Magufuli hatumbui majipu kwa style hiyo anachunguza na mwisho ndio anakutumbua.Mm kwa mtazani wangu mtuma post amekurupuka kwa chuki zake binafsi na anaonyesha ana majungu tu.

Lisemwalo lipo!huyu jamaa hajakurupuka na kuna wachangiaji hapa wamekiri kumjua huyo mtu kwamba hana uweledi wala sifa ya kupata hiyo kazi.Sasa unachobisha ni nini?au ndio wewe au ni ndugu yako?au unafaidika kwa namna flan? Huyu jamaa ametoa Toa some hint sasa inabidi mamlaka iliyomteua ichunguze na ikibainika basi atumbuliwe tu hamna jinsi lazima Tanganyika irudi kipindi hiki.Au atumbuliwe kwanza maelezo baadae.
 
Serikali ya JPM inafanya kazi pia na mitandao tunaimani hili litafanyiwa kazi pia!mleta hii habari hongera kwa kuwa mzalendo.
 
Umehororoja na kubwabwaja bila mpango.

Hujaweka hata tuhuma moja iliyo solid.
 
Huyo dada ni jipu! Wamtoe wanye mamraka! Harmashauri amaiua! Sasa wao wachangae tu watakuja kuizika! Watumishi wamekata tamaa! Magari yamekufa, service inakuwa shida! Watumishi wanakaa chini ya miti! Hakuna Tina, wars ufanisi! Kwa SBB ya hili jipu tatu selemani kikwete!
achene kazi mjiajiri mashamba ya kulima yamejaa
 
Mzee nina hasira si kidogo.. Muulize mtu yeyote wa halmashauri ya kibaha atakwambia yani watu wamemchoka, sijui kama ameolewa sijafuatilia maisha yake binafsi
Mkuu jaribu kumtongoza waweza kuta ana msongo wa mawazo ndio maana anakuwa na hasira zilizopitiliza. Ukifanikiwa uchicheme kula kimya!
 
usiishi kwa kukariri tumeanza kutumbua zenye surename za waziri wakuu wastaafu wa marais wastaafu its just a matter of time
Hili neno "SURENAME" linajirudia kwenye post kadhaa nimeshindwa kuli ignore mkuu una maanisha nini hapa?
 
Back
Top Bottom