fundi mwili
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 269
- 174
Mkuu kuna majipu mengine madoctor wa tanzania wameshindwa yanatakiwa yapelekwa India kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji
Nafahamu concern yako. Tatu hana sifa. Tatu mtoto wa Seleman Kikwete kaka wa Jakaya Kikwete ambaye amefariki mapema mwaka huu hana uwezo. Huyu alipata huo ukurugenzi kwa kubebwa nae akafight pia shoga apate ukurugenzi. Shoga yake yupo huko manispaa ya songea. Wote hawana sifa ya kuendelea kuwa wakurugenzi.Katika halmashauri ya Kibaha kuna hili jipu linaitwa Tatu Kikwete, huyu ni mkurugenzi wa halmashauri ya kibaha vijijini.
Jipu hili limekuwa likiwanyanyasa sana watumishi wa wilaya hiyo kisa ana undugu na yule jamaa (Jakaya Kikwete) na hata hicho cheo alikipata kwa kubebwa tu maana elimu yake ni diploma in education lakini anawanyanyasa watu wenye elimu zao.
Ana lugha chafu kutukana watumishi hadharani, kuwanyima haki za msingi, kuwagawa watumishi yaani anafanya ofisi kama mali yake ya nyumbani.
Kutokana na tabia zake halmashauri imedumaa na mapato yamedidimia.
Mwisho naomba serikali iwe inatoa vyeo nyeti kama hivi kwa kuzingatia elimu pia na sio ujanja ujanja haiwezekani subordinate wakawa na elimu na upeo mkubwa kuliko superbordinate ndio mwanzo wa kupata viongozi vilaza.
Naomba wenye mamlaka wafanye uchunguzi kisha watumbue tu haya majipu ya awamu ya nne yaliyovimba kindugundugu.
Utawala uliopita ulikuwa ni wa akili ndogo kutawala akili kubwa!!Mkurugenzi ana Diploma? Mi ninachofahamu wakurugenzi wanatakiwa kuwa na masters
Masters kwa sasa sio kitu kikubwa hivyo. Kuna watu wana degree moja tu lakini wana uwezo mkubwa kuzidi hao wa masters. I know some of the engineers who have only first degree but very powerful in doing their jobs. Kama kuna kigezo hicho let them review it. Madudu mengi yanayofanywa kwenye manispaa hizi tusingetegemea kuyaona kama masters ndio utendaji. Ila yule ded wa kibaha nafahamu hata mimi kuwa hana uwezo wa mwenzake wa songea. Hawa waliingia kwa jina la kikwete.Mkurugenzi ana Diploma? Mi ninachofahamu wakurugenzi wanatakiwa kuwa na masters
usiishi kwa kukariri tumeanza kutumbua zenye surename za waziri wakuu wastaafu wa marais wastaafu its just a matter of time
Huelewi hata chembe nani alimforce Magufuli kuchukua fomu. Kikwete amwambie Magufuli akachukue fomu!!! You are out of information. Hakuwa na alternative zaidi ya kuacha maji yachukue mkondo wake yapasue.kwa taarifa yako ccm ina wenyewe na wenyewe mmojawapo ni kikwete.. na hata magufuli ni mojawapo ya majina matano ya mfukoni mwa kikwete...
asingemtaka hata fomu asingemwambia akachukue...
endeleeni kuzungusha mikono
Huelewi hata chembe nani alimforce Magufuli kuchukua fomu. Kikwete amwambie Magufuli akachukue fomu!!! You are out of information. Hakuwa na alternative zaidi ya kuacha maji yachukue mkondo wake yapasue.
Nasisitiza bado huna information. Hakuna Rais aliyewahi kufanikiwa kuweka mtu wake madarakani. Hakuna. Tangu baba wa taifa hadi huyo aliyepoteza nchi kwenye kuzalisha mafisadi na ufisadiendelea kuzungusha mikono...
jk alisema singida juzi maadhimisho ya ccm mbele ya magufuli kwamba ccm ina wenyewe na wenyewe ndio sisi.. na madaraka hatutawapa wapinzani milele
Duuu muraa mang'ana??Yaani huu Uzi nimeupenda sana! Tatu selemani hafai hats kuwa mwenyekiti wa nyumba kumi! Ni kiraza mamba Moja! Muhudumu ndio mshauli wake! Akihisi MKUU wa idala ana elimu basis atamfanyia zengwe aondoke ili aendelee knyanyasa watumishi! Wenye mamraka tuondoreen huyo MTU! Tumemchoka hana werred! Hebu njooni halmashauri ya Kibaha muongee na watumishi na muone madudu ya tatu selemani! Kila miradi yote ameua,
Katika halmashauri ya Kibaha kuna hili jipu linaitwa Tatu Kikwete, huyu ni mkurugenzi wa halmashauri ya kibaha vijijini.
Jipu hili limekuwa likiwanyanyasa sana watumishi wa wilaya hiyo kisa ana undugu na yule jamaa (Jakaya Kikwete) na hata hicho cheo alikipata kwa kubebwa tu maana elimu yake ni diploma in education lakini anawanyanyasa watu wenye elimu zao.
Ana lugha chafu kutukana watumishi hadharani, kuwanyima haki za msingi, kuwagawa watumishi yaani anafanya ofisi kama mali yake ya nyumbani.
Kutokana na tabia zake halmashauri imedumaa na mapato yamedidimia.
Mwisho naomba serikali iwe inatoa vyeo nyeti kama hivi kwa kuzingatia elimu pia na sio ujanja ujanja haiwezekani subordinate wakawa na elimu na upeo mkubwa kuliko superbordinate ndio mwanzo wa kupata viongozi vilaza.
Naomba wenye mamlaka wafanye uchunguzi kisha watumbue tu haya majipu ya awamu ya nne yaliyovimba kindugundugu.
Kwanza hata ww unaonekana jipu tu maana unaonekana hata unachokiandika hukijui maana naona Ulikimbia umande hata kuandika hujui.pia kama tamaa ktk halmashauri umekata ww na wajinga wenzako.ss tunaendelea kupiga kazi.fanyeni kazi wacheni majungu watoto watakufa njaa bure huko majumbani mwenu.Wewe kama unatetea huyo JipunTatu, njoo halmashauri ya Kibaha uurize MTU yeyote mkurugenzi yupo! Utjibiwa nani huyo tatu sijui! Na anayekujibu ana hasira na amekata tamaa! Nagari yote yamepaki kama yapo yard vile! Kumbe no service tu! Ri tatu haritaki kutengeneza! Juzi kati uritokea msiba wa mtumishi! Ikabidi wakodi gari binafs kumsafirisha marehemu! Wakati magati ya harmashuri yapo! Watumishinwamekata tamaa! Tatu atorewe hatumtaki kabisa