Tattoos, zinataka kuvunja ndoa msaada jamani

Haah huyo mke wake ndo alimaliza IFM? Mwambie jamaa hana chake mapeema asije akafa kwa mawazo. Uzur wa mwanamke tabia IFM nimeshasoma pale tena mara 2 cjawah ona mabinti ma....ya kama waliopo pale
 
Hivi tatoos zimekuwa fashion sana kwa vijana. Naona wengine tumepitwa na wakati ndio maana tunashangaa. Ila naona vijana wa kileo tena wa kike wanapenda sana tatoo hasa kwenye kiuno na maziwa. Well wanapendeza lakini. Ila majina za majina ni noma.
 
Mi sioni big deal hapo. It is obvious alichora hilo jina kwa sababu ya foolish age; kwa sasa jamaa awe na confidence yeye ndo chaguo; au anajiona amepwaya kwa mamaa.
 
Mimi uwa nawashangaa wale wanawake wanaojichora tattoos, kwenye maziwa wanasahau kuwa kuna siku watanyonyesha au maziwa kutepeta.
Sijui tottoo zitakuwa kwenye hari gani
 
Si wote wanaonyonyesha maziwa yanatepeta.
Again hata yakitepeta tatizo liko wapi?
Ujana ni ujana hamna atakaye baki hivyo alivyo whether ana tattoo au hana; lakini bado vijana have to make maximum use of time they have kwani umri ukienda basi..

Mimi uwa nawashangaa wale wanawake wanaojichora tattoos, kwenye maziwa wanasahau kuwa kuna siku watanyonyesha au maziwa kutepeta.
Sijui tottoo zitakuwa kwenye hari gani
 
yani mshkaji alikuwa anaibiwa wakati wote huo bila kujua.
Hawa watoto wa kike wa sasa hivi wanavodanganya? Eti jina la msichana? Anapindisha hata ukweli ulio wazi.
Atafanyaje sasa na ameshamuoa. itabidi atulie nae atunze tu ndoa
 
Mimi nadhani jamaa asepe,if there're no kids involved. Kwa sababu kama dadaa alikuwa na mapenzi ya kweli angei cover hiyo tatoo kwa kuipa sura nyingine. Wapo ma-artist wanaweza kudesign totoo ya maandishi kuwa ya maua au matunda.
ushauri:
Abadilishe tatoo kutoka "I love you Kevin" aifanye kama kitita cha Zabibu.
Halafu aongeze maneno haya chini ya kitita cha zabibu....."NI ZAKO ZABIBU, KULA TARATIBU".
 
Si wote wanaonyonyesha maziwa yanatepeta.
Again hata yakitepeta tatizo liko wapi?
Ujana ni ujana hamna atakaye baki hivyo alivyo whether ana tattoo au hana; lakini bado vijana have to make maximum use of time they have kwani umri ukienda basi..

Unazidi kunifurahisha mkurugenzi!
 
Back
Top Bottom