Tattoo inanikosesha amani

Tattoo inanikosesha amani

oa mkuu wewe huoi hiyo alama,halafu mbona anaweza kuifuta?ila ni muhimu aamue yeye elewa kuwa mwanamke sio second citizen naye ana haki sawa na anaweza kuamua kukifanya anachokitaka katika muda wake mwafaka,kama hiyo alama ni kikwazo nawe umempenda jadiliana naye sio wewe ulazimishe ni wakati wa kuachana na hii mifumo dume.
 
mkuu yaani ukitaka kula mambo unakutana na majina!
 
Amani kwenu,

Wadau nimepata mwanamke ninae taka kuoa kwa maana ya mke wa pili,tatizo kwa haraka haraka alilonalo amejichora tattoo kwenye paja tattoo hiyo ina jina la mwanaume wake aliemuacha na jina lenyewe lipo kwenye paja.

Yaani ni sehemu nyeti na mimi nimefika nataka kuchukua jumla lakini kila nikifiria nakosa amani na mwenye jina lake anaweza kuwa bado ana nguvu na kuweza kutaka kuona jina lake kama bado linadumu.

Nashauri kina dada wakati wa mapenzi yenu kumbukeni kuna kuachana sasa kizazaa kama hiki cha kuolewa na majina ya watu ni hatari.

Wadau nisaidieni ushauri mimi ndio nishaoza lakini nikifikiria jina nakosa amani.
tupe mrejesho mzee
 
Kuna msanii aliimba.
"Sikiliza rafiki navumilia vingi vitimbi, moyoni bado anaishi ila amejawa usaliti, akiondoka akaniacha peke yanguu,huku nyuma nalia na Mungu wanguu.. haikupita hata mwezi ameshakosa na furaha akarudi, ameshachora na tattoo, jina la mpenzi wake mdanganyi, lakini bado nilimpa moyo wanguuu, nikiamini kuwa yeye ni fungu languu... uuuhhhh"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom