EL MAGNIFICAL
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 938
- 125
Nimeshazunguka Hospitalini na kwa wazee wa jadi na sijafanikiwa mpaka sasa
upo mkoa gani ?
Nimeshazunguka Hospitalini na kwa wazee wa jadi na sijafanikiwa mpaka sasa
Sasa umejuaje hausimamishi kama haujawahi kuwa na girlfriend? Huwezi jua huenda ukimpata Huyo girlfriend kitu kikasimama wima.
Hakuna hata mmoja aliyemshauri aende msikitini, kwa Ponda au Bakwata. Kulikoni? Au huko hakuna Mungu?!
Haya bana maombezi bila kujua hata tatizo?Before form two mambo yalikuwa shwari? Nini kilitokea hadi hali hiyo ikatokea? Jaribu kukumbuka tukio gani liliambatana, na ukiweza kumbuka; tafuta maombezi.
Ingia SCOAN - The Synagogue, Church Of All Nations send prayer request, you can also call their prayer lines.
Pole sana mkaka!
Nimeshazunguka Hospitalini na kwa wazee wa jadi na sijafanikiwa mpaka sasa
Haya bana maombezi bila kujua hata tatizo?
Jamani tatizo si linajulikana; haisimami!
Ushawahi ona msikiti wanaombea wagonjwa?ukienda huko utatupiwa majini tu
Pole sana mkuu, Yote ni mipango ya mungu, fanya utaratibu ujiunge na hutuduma za kitume kama upadre