Tatizo nini hasa?

Vituko hivi!!

Kwamba kwa miaka zaidi ya mingi umesumbuliwa na tatizo hili, miaka mingi inaanzia 2, 5, 10, 15 au? Wewe una miaka 20 miaka hiyo mingi ipi?

Kiongozi, uwingi unaanzia pale vitu vinapokuwa zaidi ya kimoja so hat miaka miwili Ni mingi hyo miezi 24 si mchezo.
 
Aya ya kwanza - Nimeshashuhudia mapenzi ya dhati huku sina pesa.

Aya ya pili - Unaweza ukanisaliti mi nikachukulia poa.

Hebu subiri. Anayekupenda kwa dhati anaweza kukusaliti?
 
Aya ya kwanza - Nimeshashuhudia mapenzi ya dhati huku sina pesa.

Aya ya pili - Unaweza ukanisaliti mi nikachukulia poa.

Hebu subiri. Anayekupenda kwa dhati anaweza kukusaliti?
Hapo naweza sema Kuna baadh wanawake wanatumia mbinu ya kukusaliti ili wapime una upendo kiasi gan kwake au una mjali kwa kiasi gn.
 
Umoja wa mataifa (UN) umelaani vikali kitendo chako cha kutaka hisia, mapenzi ya dhati na kumaliza shule juzi juzi tu wakati elimu haijakamilika.
 
Tengeneza maisha, hisia zitakuja tu na Kuna mtu utampenda tu baada ya kuwa vizuri kimaisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom