[emoji1787][emoji1787]Hapo naweza sema Kuna baadh wanawake wanatumia mbinu ya kukusaliti ili wapime una upendo kiasi gan kwake au una mjali kwa kiasi gn.
[emoji1787][emoji1787]Hapo naweza sema Kuna baadh wanawake wanatumia mbinu ya kukusaliti ili wapime una upendo kiasi gan kwake au una mjali kwa kiasi gn.
Kwanza acha zinaaa kuwa karibu na muumba wako
Nashukuru kwa ushauri.Tengeneza maisha, hisia zitakuja tu na Kuna mtu utampenda tu baada ya kuwa vizuri kimaisha.
Sawa kiongozi, ni stress tu zinazonichanganya...Pili ajifunze uandishi asichanganye herufi.
Hilo nalo neno, umenikumbusha Kuna kimanzi fulani nilikutana nacho enzi za A-level dah ! ...Tatizo kuna mtu unampenda zaidi ya mademu wote ua a true and legendary puli master.