Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
Tatizo ni pale unapong'ang'ania kwenda kupima watoto wako wanne DNA matokeo yanaonyesha kati ya hao wanne wakwako ni mmoja tu.
Unaporudi Hom na Ham ya Wife anapokuja kukupokea unaanza mashamsham halafu ukiingia ndani mkweo huyu hapa

Tatizo ni pale:
- Unapoenda kwenye intavyiu ya kazi unakuta boss ni jamaa ambaye mlishawahi kugombana mahali flani.
- Unapoandika status Facebook "Asante Mungu mshahara umetoka" halafu mwenye nyumba wako ana-Like.
- Nzi katua kwenye kipara cha mzee wako halafu unataka kumpiga kwa mkono.
- Uko kwenye daladala halafu unatupa noti ya shilingi mia 5 dirishani badala ya vocha uliyomalizia kuiweka kwenye simu.
- Baba yako anafanya kazi Tanesco halafu mmekaa home umeme unakatika unasema "Mungu na awalaani Tanesco"
Hiyo ya mwenyenyumba mie hoi!Tatizo ni pale:
[h=5]- Unapoenda kwenye intavyiu ya kazi unakuta boss ni jamaa ambaye mlishawahi kugombana mahali flani.
- Unapoandika status Facebook "Asante Mungu mshahara umetoka" halafu mwenye nyumba wako ana-Like.
- Nzi katua kwenye kipara cha mzee wako halafu unataka kumpiga kwa mkono.
- Uko kwenye daladala halafu unatupa noti ya shilingi mia 5 dirishani badala ya vocha uliyomalizia kuiweka kwenye simu.
- Baba yako anafanya kazi Tanesco halafu mmekaa home umeme unakatika unasema "Mungu na awalaani Tanesco"[/h]
Tatizo ni pale unapomsema mtu kumbe yupo nyuma yako anakusikiliza
Tatizo ni pale unapomsema mtu kumbe yupo nyuma yako anakusikiliza
Tatizo ni pale unapomsema mtu kumbe yupo nyuma yako anakusikiliza
Tatizo ni pale:
[h=5]- napoenda kwenye intavyiu ya kazi unakuta boss ni jamaa ambaye mlishawahi kugombana mahali flani.