Tatizo ni nini wakuu naombeni msaada

Tatizo ni nini wakuu naombeni msaada

Wakuu Nina Hali naipitia maeneo ya kazini .Yani maeneo yote nliyofanya kazi Hali hii hunikuta.
1.Nachukiwa bila sababu kazini
2.hata kama Sina pesa hata mia watu hufikilia Nina pesa Yani hata Mtu akisema nimkope nikasema Sina basi huzani nimemnyima
3. Watu huzani labda nipandikizi la usalama aliyekuja kuchunguza ofisi hivyo baadhi ya watu hukaa mbali na Mimi
4. Nikihitaji msaada hasa Kwa mtu ambaye simjui ni halaka sana kunisaidia 100%
5.ninauwezo kuyaelewa mawazo mapema ya mtu Kwa kumtazama au kuongea naye hivyo kama amekuja vibaya najua.
6. Ninakaa hata miaka 5+ sijaumwa ugonjwa siliazi tukiachana na mafua.
Hayo mengine ni ya kawaida ila kinachonitesa na kuumiza kichwa why nachukiwa bila sababu Yani mtu tu anaweza kuninunia bila sababu na uzuri wake before natambua mapema sana kabla sijamsalimia. Je hii Hali wakuu ikoje?

Eti unazani
Eti halaka

Unafanya kazi ofisi gani hii hamjui kuandika? Ama wewe ni Gen Z?
 
Wakuu Nina Hali naipitia maeneo ya kazini .Yani maeneo yote nliyofanya kazi Hali hii hunikuta.
1.Nachukiwa bila sababu kazini
2.hata kama Sina pesa hata mia watu hufikilia Nina pesa Yani hata Mtu akisema nimkope nikasema Sina basi huzani nimemnyima
3. Watu huzani labda nipandikizi la usalama aliyekuja kuchunguza ofisi hivyo baadhi ya watu hukaa mbali na Mimi
4. Nikihitaji msaada hasa Kwa mtu ambaye simjui ni halaka sana kunisaidia 100%
5.ninauwezo kuyaelewa mawazo mapema ya mtu Kwa kumtazama au kuongea naye hivyo kama amekuja vibaya najua.
6. Ninakaa hata miaka 5+ sijaumwa ugonjwa siliazi tukiachana na mafua.
Hayo mengine ni ya kawaida ila kinachonitesa na kuumiza kichwa why nachukiwa bila sababu Yani mtu tu anaweza kuninunia bila sababu na uzuri wake before natambua mapema sana kabla sijamsalimia. Je hii Hali wakuu ikoje?
Worry not tupo wengi wa hivyo mimi ilikuwa nikijichanyanya na watu wakiwa wanapiga storry wanasambaratika.
Ila niko tuu hivyo ili nikubalike lazima hatua ya kwanza nidharaulike baada ya hapo hujisogeza nami naishi nao ivyo ivyo walivyonipokea.
 
kwa mara ya kwanza nimeona uzi wa mtu anayetamani kuumwa magonjwa serious zaidi ya mafua.
 
Back
Top Bottom