Nakubaliana na ww kwamba ni muhimu kuwa na hygiene njema kwa ujumla…na kulambana au kutumia vidole ni chaguo la mtu binafsi.Na iwapo tendo likitendeka kabla kujisafi then ipewe kipaumbele hygiene.Asante kwa observation na maelezo mazuri, lakini kwa mtazamo wako unadhani ni sahihi kulamba au kutumia vidole (Mikono ni sehemu ya tatu kwa kuwa chafu na bacteria wengi nyuma ya kinywa na genital areas), na ikizingatiwa tendo la ndoa halina muda maalum, yawezekana ashiki zikapanda kabla mwenzi wako haja jisafi, let say umetoka job naye katoka job, kipindi mnajiandaa muoge mzuka huo!
Ni kweli ulambaji unasababisha na kuongezeka kwa saratani ya koo kwa sababu walio wengi wanatumia njia hio kama fasheni,isitoshe walio wengi hawatulii na mwenzi mmoja ,polygami inasababisha muongezeko wa kupata saratani ya koo,ukichangia hygiene na kwamba wengi wana magonjwa tofauti ambayo hayaoneshi dalili nyingi za mtu kugundua kama huyu ninayemlamba ana gonjwa fulani mfano ugonjwa kama fungus,chlamydia ni ngumu kugundua kama huna ujuzi kama mtu ana magonjwa hayo haswa kama akiwa amejisafi.Magonjwa mengine kama herpes simplex virus ambayo wengi wanatembea nayo ni rahisi sana kuambukizana bila kuona dalili zozote kutoka kwa mtu na ukichangia upungufu wa wengi kuhusiana na knowledge ya magonjwa ya zinaaa….Unazungumziaje tafiti zinazoonesha ulambaji unachangia kuongezeka kwa saratani ya koo?Swali kwa wanaume-hivi kuna ladha yoyote inayokufanya upende kulamba au ni fear factor tu kuwa hutamridhisha and some one will do it for you?Na ni kwa nini zisianze natural ways then if she complains ndo itumike hiyo arificial method?
Siwezi kuwajibia wanaume wote lakini ninaamini asilimia 100 wapo wenye uwezo wa kusustain erection for 30 mins…Isitoshe wale wa kwenye mikanda wengi wao wapo kibiashara zaidi,na kuna uwezekano wanatumia dawa kuwa na erection ya muda mrefu na hawahusishi hisia na hio hupelekea kutokuejaculate haraka.Kuna tofauti ya making love and having sex...Upo right, lakini tujiulize tunaweza kweli yanayotendeka kwenye picha/mikanda ya X? wale jamaa wanaweza kusustain ererction na ejaculation for more than 30 mins, kwa wanaume wa leo nani mwnye huo ubavu?
Hili itabidi niwaachie wamasai wajibu kwasababu mimi sijui tamaduni zao Cc kingastikwa wadada mnatoaga chance kwa wakaka kujaribu kiungo kwa kiungo kabla ya kudemand kulambwa? Vipi wamasai nao wana huo utamaduni?
mwanaume anatumia dakika 50 kulamba, lakini tendo lenyewe ni just 5 seconds kwisha kabisa, na hawezi kurudia mpaka apepewe? Hili unalizungumziaje?
Nadhan hata babu zetu wengine walikuwa na maumbile madogo, how did they cope with that? na kwanini vijana waleo washindwe?
Kujua tatizo ni hatua moja kuelekea kwenye suluhisho!!
Kamoja tu kaka binamu!!!!????
Aiseeeee!!!!!!!!!!!
bora umeliona hilo.
topic ya kikubwa hii.
karibu mkuu niliskia uligongwa BAN