Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,020
Miili wazi
Zamani mwili unauona wazi ukiwa kitandani au wakati upo na mwenza wako tu. kitendo cha kuona mwili wazi kila mara, huondoa shauku ya nini kipo ndani ya mwili huo... Sasa kama shauku ilishakwisha, ndani ya 6 kwa 6 hakutakuwa najipya